BURNA BOY CONFIRMS OWNERSHIP OF THREE FERRARIS

OUR STAR 🌟 Nigerian singer, songwriter, and record producer Damini Ebunoluwa Ogulu, known professionally as Burna Boy, revealed that he has three Ferraris, not two. This revelation came in a fresh video on social media where the superstar was seen amidst his loyal fans and associates. In the video, the singer was calmly seated in… Continue reading BURNA BOY CONFIRMS OWNERSHIP OF THREE FERRARIS

MERCY CHINWO AND HUSBAND REVEAL THEIR SON’S FACE

OUR STAR 🌟 Renowned Nigerian gospel singer, Mercy Chinwo and her husband, Pastor Blessed Uzochikwa, officially reveal their son’s face. Mercy Chinwo shared delightful family pictures of her husband and their charming son on her Instagram page barely months following his birth, expressing heartfelt gratitude to God. The photos seem to have been taken during… Continue reading MERCY CHINWO AND HUSBAND REVEAL THEIR SON’S FACE

AISHI MANULA KUIKOSA AL AHLY

MICHEZO Klabu ya Simba imepata pigo baada ya mlinda mlango Aishi Manula kuripotiwa kupata majeraha yatakayomuweka nje ya uwanja kwa muda mrefu kama ambayo yalimuweka nje mwanzoni mwa Msimu huu. Manula anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu kati ya miezi 10 hadi miezi 12. Kukosekana kwa nyanda huyo wa timu ya Taifa ya… Continue reading AISHI MANULA KUIKOSA AL AHLY

RAMADHAN WASSO AFARIKI DUNIA

NYOTA WETU Nyota wa zamani wa Simba na Yanga Ramadhan Wasso amefariki dunia leo nchini Burundi. Wasso raia wa Burundi ambaye usajili wake wa kutoka Simba kwenda Yanga ulitikisa sana mwanzoni wa mwaka 2000 atakumbukwa kwa ustadi mkubwa wa kumudu kucheza kama Mlinzi wa kushoto na mwenye uwezo mkubwa wa kupanda na kusaidia mashambulizi. Taarifa… Continue reading RAMADHAN WASSO AFARIKI DUNIA

SABABU DANI ALVES KUACHIWA HURU

MICHEZO Mahakama ya Hispania imesema mlinzi wa zamani wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, Dani Alves anaweza kuachiwa huru baada ya kutumikia Robo ya adhabu yake ya ubakaji. Alves, aliyehukumiwa kifungo cha miaka minne na nusu jela mwezi uliopita, anaweza kuachiwa huru akilipa euro milioni moja ambazo ni sawa na Pauni 853,000.… Continue reading SABABU DANI ALVES KUACHIWA HURU

11 POWERS OF A WOMAN’S TONGUE

LOVE ❤ 1. A woman’s greatest power is in her words, whereas men are physically strong, a woman can bring down a man just with her tongue 2. A woman’s words can encourage a man and be his greatest inspiration, or discourage him and be his greatest nightmare. The more he loves her, the more… Continue reading 11 POWERS OF A WOMAN’S TONGUE

AFARIKI AKIFANYA UPASUAJI WA KUONGEZA MAKALIO

HABARI KUU Maofisa wa Uingereza na Uturuki watakutana kujadiliana kuhusu mfumo wa udhibiti kufuatia kifo cha Mwanamke mmoja mwaka 2019 kilichotokea katika upasuaji wa kuongeza makalio. Melissa Kerr alifariki Dunia jijini Istanbul mara baada ya kufanyiwa upasuaji uliohusisha kukusanya mafuta na kuyaweka kwenye makalio yake. Kifo cha Melissa (31) kilitokana na mafuta aliyochomwa kwenye makalio… Continue reading AFARIKI AKIFANYA UPASUAJI WA KUONGEZA MAKALIO

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner