Usajili wa CHAMA ulivyofanyika na umafia wa Injinia Hersi
Leo sitaki maneno mengi, naingia moja kwa moja kwenye hizi taarifa nyeti nilizonazo. Story inaanzia Chama akiwa amelala kitandani, nyumbani kwake Lusaka - Zambia. Mishale ya Saa 3:30 Usiku anapokea…