“Kama Wanauza Miili Yao Wao Wanabaki na Nini?”
Shahidi wa pili katika kesi ya ukahaba inayowakabili washtakiwa watano katika mahakama ya Hakimu mkazi Sokoine Drive, ameieleza mahakama hiyo kuwa waliwakamata washtakiwa hao kwa tuhuma za ukahaba kutokana na…