Dkt Charles Kimei ahofia nafasi yake ya Ubunge kuchukuliwa
HABARI KUU "Mnataka nisirudi Bungeni?" Mbunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro Dkt. Charles Kimei amehoji kutojengwa kwa kituo cha afya cha Msae, Mwika ambapo amedai kutokujengwa kwa kituo hicho…