COLE PALMER KINARA WA MABAO EPL

MICHEZO Cole Palmer amefunga magoli manne na kuwa mchezaji wa kwanza wa Chelsea kihistoria kufunga kwenye mechi 7 mfululizo za Ligi Kuu England katika dimba la Stamford Bridge. FT: Chelsea 6-0 Everton⚽⚽⚽⚽ Palmer 13′ 18′ 29′ (P) 64′⚽ Jackson 44′⚽ Gilchrist 90′ Palmer amekwea kwenye usukani wa ufungaji bora wa Ligi Kuu England akiwa na… Continue reading COLE PALMER KINARA WA MABAO EPL

MICHELLE OBAMA ATANGAZA KUTOGOMBEA URAIS WA MAREKANI 2024

HABARI KUU Kumekuwa na uwepo wa tetesi nyingi kuhusiana na mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama kutaka kugombea Urais 2024, Sasa Michelle amekanusha tetesi hizo kupitia ofisi yake siku ya jana Jumanne Machi 5. Ofisi hiyo imelithibitisha hilo kwa kueleza kuwa Michelle hatogombea Urais kwani kwasasa ameamua kujikita kumuunga mkono Rais… Continue reading MICHELLE OBAMA ATANGAZA KUTOGOMBEA URAIS WA MAREKANI 2024

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner