MICHEZO Watu wanne wameripotiwa kukamatwa baada ya sakata la Wazazi wa Mshambuliaji wa Liverpool Luis Diaz kutekwa. Watu hao wanashtakiwa kwa kuteka na kuiba ,na wanatarajiwa kupelekwa Mahakamani leo katika mji mmoja ujulikanao kama Riohacha uliopo Kaskazini mwa Colombia. Mmoja wa watu hao aliyetambulika kama Yerdinson Bolivar anatajwa kuwahi kuwa kocha Kwenye shule ya soka… Continue reading WATU WANNE WAKAMATWA SAKATA LA UTEKAJI
Tag: #michezo #Chelsea
CHELSEA YAPATA PIGO LINGINE
Michezo Nahodha wa klabu ya Chelsea, Reece James, amefungiwa mechi moja pamoja na pamoja na faini ya paundi 90k zaidi ya TZS 270 milioni, kwa kosa la matumizi ya lugha isiofaa michezoni kwa Afisa wa mechi baada ya mchezo wa Chelsea na Aston villa kuisha kwa Chelsea kukubali kichapo cha 1-0. Mlinzi huyo wa pembeni… Continue reading CHELSEA YAPATA PIGO LINGINE