THE 14 NEEDS OF A WIFE

MCHEZAJI WA KLABU YA AL AHLY AHUKUMIWA JELA MWAKA MMOJA NA KUZUIWA KUCHEZA SOKA

Mchezaji nyota wa Al Ahly Hussein El-Shahat amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na faini ya pauni 100,000 za Misri kwa kosa la kumpiga Mohamed Chibi wa Pyramids kwenye mchezo ambao Al Ahly alifungwa Mabao matatu kwa bila msimu uliopita. Baada ya kumalizika kwa mchezo huo Hussein El-Shahat alionekana kumpiga Vibao Chibi huku akidai kuwa… Continue reading MCHEZAJI WA KLABU YA AL AHLY AHUKUMIWA JELA MWAKA MMOJA NA KUZUIWA KUCHEZA SOKA

KWA EDEN HAZARD PESA SIO KIPAUMBELE

NYOTA WETU Baada ya kusumbuliwa na majeraha ya muda mrefu,Mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Chelsea na Real Madrid, Eden Hazard, aliamua kustaafu huku akidaiwa kukataa ofa ya kujiunga na vilabu vya Saudia Arabia kwa mkataba wa paundi milioni 50,ambapo ungemfanya kulipwa takribani paundi milioni 1 kwa wiki ambazo ni sawa na bilioni 3 za… Continue reading KWA EDEN HAZARD PESA SIO KIPAUMBELE

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner