HENNOCK INONGA TAYARI KASAJILIWA NA TIMU HII

MICHEZO Beki wa kati wa klabu ya Simba SC, Hennock Inonga atajiunga na klabu ya FAR Rabat ya Morocco mwishoni mwa msimu huu. Mchezaji husika na klabu ya Simba tayari wanafahamu kuhusu suala hilo.

JURGEN KLOPP AIONYA MANCHESTER UNITED DHIDI YA ARSENAL

MICHEZO Kocha Mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp ameionya Manchester United akisema watachezea kichapo kutoka kwa Arsenal mwezi ujao ikiwa watacheza kama walivyocheza dhidi ya kikosi chake. Klopp alitaka Liverpool kutulia baada ya timu hiyo kutoka sare ya kufungana mabao 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu kwenye Uwanja wa Old Trafford Jumapili (Aprili 07). Man United… Continue reading JURGEN KLOPP AIONYA MANCHESTER UNITED DHIDI YA ARSENAL

AZIZ KI AWEKA REKODI MPYA LIGI KUU YA TANZANIA BARA

MICHEZO Kiungo Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Aziz Ki ameteuliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu msimu wa 2023/2024, huku Bruno Ferry wa klabu ya Azam, akichaguliwa Kocha Bora wa ligi hiyo kwa mwezi huo. Ki amewashinda Feisal Salum wa Azam na Clatous Chama wa klabu ya Simba… Continue reading AZIZ KI AWEKA REKODI MPYA LIGI KUU YA TANZANIA BARA

SHABIKI WA SIMBA AFARIKI KWENYE AJALI AKIWAWAHI AL AHLY

HABARI KUU Shabiki wa simba sc tanzania ambaye jina lake halijawekwa wazi bado amepoteza maisha alipokuwa njiani na mashabiki wenzake baada ya kupata ajali. Shabiki huyo wa Simba SC kutoka Tawi la Kiwira alikuwa safarini na mashabiki wenzake wamepata ajali hiyo ya gari eneno ya Vigwaza Pwani. Tawi hilo lilikuwa linakuja Jijini Dar es Salaam… Continue reading SHABIKI WA SIMBA AFARIKI KWENYE AJALI AKIWAWAHI AL AHLY

AISHI MANULA KUIKOSA AL AHLY

MICHEZO Klabu ya Simba imepata pigo baada ya mlinda mlango Aishi Manula kuripotiwa kupata majeraha yatakayomuweka nje ya uwanja kwa muda mrefu kama ambayo yalimuweka nje mwanzoni mwa Msimu huu. Manula anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu kati ya miezi 10 hadi miezi 12. Kukosekana kwa nyanda huyo wa timu ya Taifa ya… Continue reading AISHI MANULA KUIKOSA AL AHLY

IBRAHIM IMORO MBIONI KUTUA TIMU HII YA KARIAKOO

NYOTA WETU Simba SC inakamilisha mazungumzo na beki wa kushoto mmwaga maji wa Al Hilal, Ibrahim Imoro anayesifika kwa kukaba na kupandisha timu na kupiga krosi za maana kwa washambuliaji. Chanzo makini kutoka ndani ya Simba SC kinasema beki huyo kutoka nchini Ghana anatakiwa kutua Msimbazi ili kuja kusaidiana na Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ ambaye kwa… Continue reading IBRAHIM IMORO MBIONI KUTUA TIMU HII YA KARIAKOO

WAFAHAMU WAAMUZI WA YANGA NA AL AHLY

MICHEZO Mechi kati ya Al Ahly na Young Africans itachezeshwa na Refa Djindo Houngnandande kutoka Benin, wakati mchezo wa Simba SC na Jwaneng Galaxy utakuwa chini ya usimamizi wa Refa Daniel Nii Laryea kutoka Ghana. Refa Houngnandande kutoka Benin anakumbukwa na Young Africans kwa kuchezesha mechi yao ya ugenini kwenye Kombe la Shirikisho Barani Afrika… Continue reading WAFAHAMU WAAMUZI WA YANGA NA AL AHLY

CAF YATOA MAELEKEZO HAYA KWA SIMBA

MASTORI CAF imeielekeza klabu ya Simba SC kuondoa neno “MO FOUNDATION ” kwenye jezi za Ligi ya Mabingwa Afrika ambalo lilikuwa likisomeka nyuma ya jezi hiyo. Pia (CAF) imeiamuru kutumia nembo moja ya “MO EXTRA” na sio mbili kama ambavyo zilikuwa zinaonekana kwenye jezi zao mara baada ya kutambulishwa.

SIMBA YAFUNGIWA KUTOKUSAJILI NDANI NA NJE SABABU HII

MICHEZO Klabu ya Ligi Kuu ya NBC ya Simba SC imefungiwa kusajili mpaka itakapo lipa madai ya klabu ya Teungueth ya Senegal kuhusu mchezaji Pape Ouesman Sakkho. Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) baada ya klabu hiyo kushinda kesi ya madai dhidi ya Simba kutokana na mauzo ya Sakkho. Kabla… Continue reading SIMBA YAFUNGIWA KUTOKUSAJILI NDANI NA NJE SABABU HII

SIMBA WALIVYOFANYA UMAFIA KWA MAX NZENGELI.

MICHEZO. Viongozi wa klabu ya Maniema Fc ya DRC wamesema viongozi wa Simba SC waliwafata na kuwaahidi ofa nono ili wamsajili , Max Nzengeli. Hii imetokea baada ya siku za hivi karibuni mchambuzi, Jemedari Said kufichua kuwa ,Max Nzengeli yupo ndani ya klabu ya Yanga kwa mkopo . Viongozi wa Simba SC waliamini na kufanya… Continue reading SIMBA WALIVYOFANYA UMAFIA KWA MAX NZENGELI.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner