KEVIN DE BRUYNE AACHWA UBELGIJI

MICHEZO Kevin De Bruyne ameachwa nje ya kikosi cha Ubelgiji kwa ajili ya mechi za kimataifa baada ya kupata majeraha ya nyonga. Akiwa amekosa miezi minne ya kampeni kutokana na jeraha la msuli wa paja, De Bruyne amekuwa katika hali nzuri tangu arejee Januari na sasa ana asisti 13 katika mechi 14 za mashindano yote… Continue reading KEVIN DE BRUYNE AACHWA UBELGIJI

KLOPP AMALIZANA NA GUARDIOLA

MICHEZO Pambano la mwisho kati ya Pep Guardiola na Jurgen Klopp kwenye Ligi Kuu England limemalizika kwa sare ya 1-1 katika dimba la Anfield. FT: Liverpool 1-1 Manchester City⚽ Mac Allister (P) 50′⚽ John Stones 23 Hili ni pambano la 30 kati ya Klopp na Pep Guardiola ambapo Mjerumani huyo ameshinda mara 12, Mhispania akishinda… Continue reading KLOPP AMALIZANA NA GUARDIOLA

MOURINHO AANZA VITA YA MANENO NA GUARDIOLA

MICHEZO Kocha wa AS Roma, Jose Mourinho amesema Josep Pep Guardiola amekuwa akitumia pesa nyingi kununua wachezaji huku akisikitishwa na klabu yake ya AS ROMA kushindwa kununua wachezaji kutokana na ukata. Itakumbukwa siku za hivi karibuni Mkufunzi wa Manchester City, Pep Guardiola alipokiri waziwazi kwamba kiungo wake Kelvin Phillips anaweza kuondoka klabuni hapo mwezi ujao.… Continue reading MOURINHO AANZA VITA YA MANENO NA GUARDIOLA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner