WHY HUGGING IS IMPORTANT IN MARRIAGE

LOVE TIPS ❤ 10 REASONS WHY HUGGING IS IMPORTANT IN MARRIAGE

BAADA YA KIFO CHA MR IBU MAPYA YAIBUKA

NYOTA WETU Kufuatia kifo mwigizaji na mchekeshaji wa Nigeria, John Okafor maarufu kama Mr Ibu kilichotokea Machi 2, 2024 mapya yameibuka baada ya kudaiwa kutengwa na wake zake huku binti yake wa kambo akichukua akaunti ya TikTok ya msanii huyo na kubadili umiliki wa akaunti hiyo na kuifanya yake. Mr Ibu alitalikiana na mke wake… Continue reading BAADA YA KIFO CHA MR IBU MAPYA YAIBUKA

WATOTO WA MR IBU WAIBA PESA ZA MICHANGO YA MATIBABU

NYOTA WETU. Polisi wanawashikilia watoto wawili wa msanii maarufu wa Nigeria mwigizaji, John Okafor maarufu Mr Ibu kwa madai ya kuiba Tsh 153 fedha za michango ya matibabu ya Mr Ibu ,na kujaribu kutorokea nchini Uingereza. Onyeabuchi Okafor na Jasimine Okekeagwu wanadaiwa kudukua taarifa za kibenki za Mr. Ibu na kuiba fedha hizo ambazo ni… Continue reading WATOTO WA MR IBU WAIBA PESA ZA MICHANGO YA MATIBABU

WACHEKESHAJI WAWILI MBARONI

MICHEZO Bodi ya filamu Nchini (TFB) imewakamata waigizaji wa vichekesho maarufu, Kicheche na Clam kwa kosa la kukiuka sheria ya bodi ya filamu ikiwemo kurusha maudhui pasipo kusajiliwa. Kwa mujibu wa bodi hiyo,wasanii hao wameitwa mara kadhaa kupeleka kazi zao ili kuhakikiwa na kupewa vibali vya kufanya shughuli zao za uigizaji lakini wamekuwa wakipuuza.

MCHEKESHAJI WA NIGERIA “MR IBU” APATWA NA MKASA MZITO

NYOTA WETU Mchekeshaji nguli wa Nigeria, John Okafor “MR IBU” amekatwa mguu jana baada ya kufanyiwa upasuaji mara saba na sasa na sasa amelazwa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi “ICU”. Taarifa iliochapishwa na binti yake kwenye ukurasa wake wa Instagram imewaomba Wanigeria wote wamuombee dua mbali na michango ya pesa za matibabu.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner