BASHUNGWA AMSIMAMISHA KAZI MENEJA TANROADS LINDI

HABARI KUU Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja katika Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi na kupelekea barabara kuu zinanounganisha wilaya hiyo na maeneo mengine kufungwa. Waziri Bashungwa akiwa ameambatana na Naibu Waziri wa Ofisi ya… Continue reading BASHUNGWA AMSIMAMISHA KAZI MENEJA TANROADS LINDI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner