HISTORIA YA HAYATI RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI

MAKALA Rais Mstaafu wa Awamu ya PiliMheshimiwa Alhaj Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza Serekali ya Awamu ya Pili aliingia madarakani rasmi tarehe 5 Novemba 1985. Mheshimiwa Alhaj Ali Hassan Mwinyi alizaliwa Kivule, Mkuranga, mkoa wa Pwani tarehe 5 mei, 1925. KAZI Alikuwa mwalimu wa shule za msingi za Mangapwani na Bumbwini, Zanzibar.Kisiasa, mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi… Continue reading HISTORIA YA HAYATI RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI

RAIS ALI HASSAN MWINYI AFARIKI DUNIA

HABARI KUU Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi amefariki dunia leo Februari 29, 2024. Kifo cha Mzee Mwinyi kimetamgazwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Mzee Mwinyi amefariki dunia majira ya saa 11 jioni katika hospitali ya Mzena, Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner