WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA BAADA YA KUMUUA BODABODA WALIYEMKODI

Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba Mkoa wa Kagera imewahukumu washitakiwa Philbert Mukaru White (37), mkulima, mkazi wa mtaa wa Kagondo Kaifo Bukoba na Lameck Tuinomukama Martine (25), Fundi mkazi wa mtaa wa Kagondo Bukoba adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la mauaji ya Clavery Joseph Kamongo (25) dereva pikipiki (bodaboda)… Continue reading WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA BAADA YA KUMUUA BODABODA WALIYEMKODI

KATIBU MKUU CCM NCHIMBI AWATISHA VIONGOZI WAZEMBE

HABARI KUU KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amewatahadharisha viongozi wote wanaotokana na CCM wasiotimiza wajibu wao kuwatumikia watu, kwa kadri ya matarajio ya Chama na wananchi, na badala yake wanatanguliza maslahi yao binafsi, siku zao zinahesabika, kwani CCM haiwezi kuwavumilia. Dk. Nchimbi amesema kuwa viongozi wote wanaotokana na… Continue reading KATIBU MKUU CCM NCHIMBI AWATISHA VIONGOZI WAZEMBE

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner