Makala Fupi Maisha halisi ya Mwanamke anayetarajia kuwa mke kwa maana ya maandalizi au mwenendo yana mambo yafuatayo; UVUMILIVU Kuwa mvumilivu katika maisha yake ya kila siku hasa ukizingatia kuwa tunakutana na mambo mbalimbali yasiyovutia katika maisha/mahusiano yetu, mengine ni magumu na yanayokwenda kinyume na matakwa yetu au mazoea yetu ya binafsi. Ifahamike kwamba wewe… Continue reading MATENDO YA KUMTAMBUA MKE WA KUOA