What is the Morning sex and its benefits to man and woman?

No insult or abuse of any kind in this platform take note. Morning sex that is sex between 4am-5;30am is the sweetest. that moment when he is still asleep, all his body system have settled down and has his normal morning erection, just sneak out of the bed and go toy the kitchen open the… Continue reading What is the Morning sex and its benefits to man and woman?

MAGAZETI YA LEO 29 MEI 2024

Sababu ANDREW KAMANGA kukamatwa

MICHEZO Rais wa chama cha Soka Zambia Andrew Kamanga amekamatwa huku akikabiliwa na Mashtaka ya ubadhirifu wa fedha za umma na utakatishaji fedha. Rais huyo anatuhumiwa kutumia fedha za Serikali ili kuwawezesha ndugu na rafiki zake, kusafiri kuhudhuria Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), nchini Ivory Coast, mwezi Januari, licha ya wawili hao kutokuwa maafisa… Continue reading Sababu ANDREW KAMANGA kukamatwa

KLABU YA BRIGHTON YAWEKA REKODI YA FAIDA KUBWA

MICHEZO Klabu ya Brighton imetengeneza faida iliyoweka rekodi ya Pauni milioni 122.8 (sawa na Sh bilioni 415) katika mwaka wa fedha wa 2022-23, ukiwa msimu wenye mafanikio zaidi katika historia ya klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya England. Kwa muibu wa takwimu, faida baada ya kodi iliongezeka kila mwaka kwa karibu Pauni milioni 100 (sawa… Continue reading KLABU YA BRIGHTON YAWEKA REKODI YA FAIDA KUBWA

NEYMAR AFICHUA SIRI YA KURUDI SANTOS YA BRAZIL

MICHEZO Neymar anatazamia kuondoka Saudi Arabia na amewaambia wachezaji klabu yake ya zamani ya Santos kwamba atarejea Brazil ifikapo mwaka 2025, kwa mujibu wa ESPN. Winga huyo mwenye umri wa miaka 32, aliondoka Paris Saint-Germain na kujiunga na Al Hilal msimu wa majira ya joto kwa dau la euro milioni 90, lakini akaumia kwenye mechi… Continue reading NEYMAR AFICHUA SIRI YA KURUDI SANTOS YA BRAZIL

DIDDY WITH THE HOMOSEXUALITY ISSUES WITH MEEK MILL AND BURNA BOY

OUR STAR 🌟 U.S. rapper Sean “Diddy” Combs is enmeshed in a new legal battle after his former producer accused him of pressuring him, Meek Mill and other artistes into having Adam & Steve with him in exchange for Grammy nominations and awards. According to the producer’s account, he was forced to watch Diddy taking… Continue reading DIDDY WITH THE HOMOSEXUALITY ISSUES WITH MEEK MILL AND BURNA BOY

“I THOUGHT WIZKID WAS A SPIRIT BEFORE I MET HIM” BNXN

OUR STAR 🌟 Popular singer, BNXN, formerly known as Buju has disclosed his bromance with his colleague, Wizkid and how he felt about him before they met. On Morning Runs with Naija 102.7 FM, BNXN asserted that even though he doesn’t know what he used to achieve it, Wizkid always replies him. He also said… Continue reading “I THOUGHT WIZKID WAS A SPIRIT BEFORE I MET HIM” BNXN

MAAJABU YA MANCHESTER CITY KWENYE LIGI YA MABINGWA

MICHEZO Manchester City ikicheza ,imetokea nyuma na kushinda licha ya kutanguliwa kwa 2-0 dhidi ya RB Leipzig na kutoka kwa jumla ya mabao 3-2. Manchester city vs RB Leipzig magoli yamefungwa na ( Haaland 54′ Foden 70′ Alvarez 84′ na Openda 13′ 33′). TIMU ZILIZOFUZU HATUA YA 16 BORA 1. Manchester City 2.RB Leipzig 3.Borussia… Continue reading MAAJABU YA MANCHESTER CITY KWENYE LIGI YA MABINGWA

MANCHESTER UNITED KUIKOSA UEFA

MICHEZO Huenda Manchester United wakashindwa kushiriki kwenye michuano ya ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao ,ikiwa watamaliza chini ya klabu ya OGC Nice ya Ufaransa, baada ya Sir Jim Ratcliffe kunyakua 25% za umiliki wa klabu hiyo. Ugumu huo unasababishwa na umiliki wa Sir Jim Ratcliffe na Ineos Group ambao pia wanamiliki klabu ya Nice… Continue reading MANCHESTER UNITED KUIKOSA UEFA

SABABU ZA MASHABIKI KUWATUPIA PESA WACHEZAJI WA NEWCASTLE

MASTORI Mechi kati ya Borussia Dortmund na Newcastle, usiku wa jumanne ililazimika kusimama kwa muda baada ya mashabiki wa Dortmund kurusha dhahabu feki na mifuko bandia uwanjani, huku wakibeba bango linalosomeka kwa maneno “HAMJALI KUHUSU SOKA- MNACHOTHAMINI NI PESA TU”. Kitendo hicho cha mashabiki wa Borussia Dortmund kilitafsiriwa kimakosa,huenda kililenga wamiliki wa Newcastle kutoka Saudia… Continue reading SABABU ZA MASHABIKI KUWATUPIA PESA WACHEZAJI WA NEWCASTLE

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner