KIINI CHA MGOGORO WA SERIKALI NA HOSPITALI BINAFSI KUHUSU BIMA YA NHIF
MAKALA Kuanzia leo tar.1 March 2024, vituo binafsi vya huduma za afya nchini vimekubaliana kutokupokea wateja wa NHIF. Maana yake ni kwamba wagonjwa wanaotibiwa kwa NHIF wako hatarini kukosa huduma.…