VICTOR OSIMHEN KUAMIA LIGI YA ENGLAND

MICHEZO Licha ya kipaumbele cha Victor Osimhen msimu wa joto kuhamia Ligi ya Premia lakini bado haieleweki ni klabu gani itayonasa saini ya mkali huyo, ila taarifa zinaeleza kuwa Chelsea, Arsenal na miamba ya Ufaransa PSG ni miongoni mwa vilabu vinavyotaka kumsajili mkali huyo kwa msimu huu wa joto. Hivi majuzi Osimhen alitia saini mkataba… Continue reading VICTOR OSIMHEN KUAMIA LIGI YA ENGLAND

VICTOR OSIMHEN KUIKABILI AFRIKA KUSINI

MICHEZO Victor Osimhen amethibitishwa kuwa yuko fiti na huenda akaanza kwenye mchezo wa nusu fainali dhidi ya Afrika Kusini mnamo siku ya jumatano ya Februari 7,2024. Mshambuliaji huyo nyota wa Super Eagles, Victor Osimhen, ameshawasili kwenye jiji la Bouakê ,Côte d’ivoire na kujiunga na timu ya super Eagles katika mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa… Continue reading VICTOR OSIMHEN KUIKABILI AFRIKA KUSINI

CHELSEA KUVUNJA REKODI KWA OSIMHEN

MICHEZO Bosi wa klabu ya Chelsea, Toddy Boehly , amedhamiria kuweka rekodi kwa kumsajili nyota wa Nigeria na Mshambuliaji wa Napoli ya Tulin , Victor Osimhen ,wakati wa dirisha la usajili litakalofunguliwa, mwezi Januari. Osimhen amekuwa kwenye rada za Arsenal, lakini huenda Washika Bunduki wa London wakaachana na dili lake, baada ya Napoli kuhitaji kiasi… Continue reading CHELSEA KUVUNJA REKODI KWA OSIMHEN

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner