Kwanini Tanzania inailipa Kampuni ya Indiana Dola milioni 90?
Serikali ya Tanzania imekubali kuilipa kampuni ya Australia, Indiana Resources Limited fidia ya Dola milioni 90 za Marekani (sawa na Sh237 bilioni), baada ya kuafikiana kutokana na kusitishwa leseni ya…