Chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress (ANC), kina kila dalili za kupoteza wingi wa wabunge kwa mara ya kwanza tangu kilipoingia madarakani miaka 30 iliyopita. Huku asilimia 50 ya kura zikiwa tayari zimehesabiwa, ANC inaongoza kwa asilikia 42, ikifuatiwa na Democratic Alliance (DA) yenye asilimia 23.

Chama cha Umkhonto weSizwe (MK Party) cha Rais wa zamani, Jacob Zuma kimepata karibu asilimia 11 ya kura na chama cha Economic Freedom Fighters cha Julius Malema kina asilimia 10.…

Continue ReadingChama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress (ANC), kina kila dalili za kupoteza wingi wa wabunge kwa mara ya kwanza tangu kilipoingia madarakani miaka 30 iliyopita. Huku asilimia 50 ya kura zikiwa tayari zimehesabiwa, ANC inaongoza kwa asilikia 42, ikifuatiwa na Democratic Alliance (DA) yenye asilimia 23.