Rais wa Kenya William Ruto amekanusha madai ya kutumia gharama kubwa kwenda kwenye ziara Marekani kwa kukodi ndege binafsi huku akibainisha gharama ingekuwa kubwa zaidi kama angetumia ndege ya Shirika la Ndege la Kenya (KQ).

"Wakenya wenzangu, nimeona wasiwasi wenu kuhusu njia yangu ya usafiri hadi Marekani. Kama msimamizi anayewajibika wa rasilimali za umma na kulingana na azimio langu la kuishi kulingana na uwezo wetu,…

Continue ReadingRais wa Kenya William Ruto amekanusha madai ya kutumia gharama kubwa kwenda kwenye ziara Marekani kwa kukodi ndege binafsi huku akibainisha gharama ingekuwa kubwa zaidi kama angetumia ndege ya Shirika la Ndege la Kenya (KQ).