Bodaboda usafiri mtamu wenye uchungu ndani yake

MAKALA Sote tunafahamu kuwa kutokana na msongamano wa miji inayoendelea kukua hasa hii ya Kiafrika na ugumu wa maisha katika mifuko, ilipelekea wengi kuuona usafiri wa Bodaboda kama njia rahisi, nafuu na ya haraka kwa usafiri wa umma ambayo hata hivyo ina mambo mengi. Kwa wasiofahamu Boda-Boda imepata jina lake kutokana na neno “mpaka”, kwani… Continue reading Bodaboda usafiri mtamu wenye uchungu ndani yake

Manchester United na Bayern Munich zaingia vitani

MICHEZO Saa chache baada ya Klabu ya Chelsea kutangaza kuachana na Mauricio Pochettino, Klabu za Manchester United na Bayern Munich zimeanza kuhusishwa na mpango wa kumuajiri Kocha huyo kutoka nchini Argentina. Chelsea imetangaza kusitisha Mkataba wa miaka miwili wa Kocha huyo, baada ya kufanya mazungumzo kwa kina na pande zote mbili kukubaliana kuvunjwa kwa Mkataba… Continue reading Manchester United na Bayern Munich zaingia vitani

Makocha wanaohusishwa kumrithi Mauricio Pochettino Chelsea

MICHEZO Majina ya Makocha Thomas Frank wa Brentford na Vincent Kompany wa Burnley yamekuwa ya kwanza kutajwa katika mpango wa kurithi nafasi ya Mauricio Pochettino huko Chelsea. Uongozi wa Klabu ya Chelsea umetangaza kuachana na Kocha Mauricio Roberto Pochettino Trossero kwa makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja Mkataba ambao ulisainiwa mapema msimu wa 2023/24.… Continue reading Makocha wanaohusishwa kumrithi Mauricio Pochettino Chelsea

Pep Guardiola atangazwa kocha bora wa ligi kuu England

MICHEZO Kocha wa Mabingwa wa Soka nchini England Manchester City Pep Guardiola ametajwa kuwa Kocha Bora wa Msimu wa 2023/24 kwenye Ligi Kuu ya England. Guardiola aliiongoza Manchester City kutwaa taji la nne mfululizo la Ligi Kuu ta England mwishoni mwa juma lililopita, kwa kuifunga West Ham Utd mabao 3-1, Uwanja wa Etihad mjini Manchester.… Continue reading Pep Guardiola atangazwa kocha bora wa ligi kuu England

Emilio Nsue López atangaza kurejea kwenye soka

MICHEZO Kinara wa ufungaji kwenye Fainali za Mataifa ya Bara la Afrika ‘AFCON 2023’ Emilio Nsue López ambaye alitangaza kustaafu baada ya kutofautiana na Uongozi wa Shirikisho la soka la Guinea ya Ikweta, amebatilisha uamuzi wake. Mshambuliaji huyo aliyefunga mabao matano ametangaza kurejea kwenye majukumu ya kuitumikia Guinea ya Ikweta, katika harakati za kusaka nafasi… Continue reading Emilio Nsue López atangaza kurejea kwenye soka

WHAT HAPPENS WHEN A MARRIED COUPLE MAKES LOVE

LOVE TIPS ❤ 12 WAYS THAT HAPPENS WHEN A MARRIED COUPLE MAKES LOVE 1. They connect in every level; spiritually, emotionally, physically and mentally 2. They take away stress and release the tension in their marriage 3. They grow closer together even if they had started to drift apart 4. They release feel good hormones… Continue reading WHAT HAPPENS WHEN A MARRIED COUPLE MAKES LOVE

SHUHUDIA SHUGHULI YA MAZISHI YA EBRAHIM RAISI KIONGOZI WA IRAN

HABARI KUU Raia wengi wa Iran wamejitokeza katika mji mkuu wa nchi hiyo Tehran, kushiriki katika mazishi ya kitaifa ya Rais Ebrahim Raisi. Rais huyo wa Iran akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Hossein Amir – Abdollahian pamoja na maafisa wengine sita wa ngazi ya juu, walifariki dunia baada ya helikopta… Continue reading SHUHUDIA SHUGHULI YA MAZISHI YA EBRAHIM RAISI KIONGOZI WA IRAN

Ederson Moraes yuko mbioni kuiacha Manchester City

MICHEZO Mlinda Lango wa Mabingwa wa Soka nchini England Manchester City Ederson Santana de Moraes anatajwa kuwa mbioni kuihama klabu hiyo, iliyomsajili miaka saba iliyopita. Taarifa zilizochapishwa kwenye Gazeti la The Mirror mapema leo Jumatano (Mei 22), imeeleza kuwa Mlinda lango huyo kutoka nchini Brazil anajipanga kuondoka na kutimkia Saudi Arabia. Ederson mwenye umri wa… Continue reading Ederson Moraes yuko mbioni kuiacha Manchester City

SEAN COMBS HAS BEEN ACCUSED BY A WOMAN IN ORAL SEX WITHOUT HER CONSENT

Rapper and businessman Sean Combs “Diddy”, has been accused by a woman who was a model who claims he was forced to participate in oral sex without her consent while she was unconscious Crystal McKinney at the age of 22 met #Diddy, Cipriani Downtown NYC In 2003 at a menswear show, she was invited to… Continue reading SEAN COMBS HAS BEEN ACCUSED BY A WOMAN IN ORAL SEX WITHOUT HER CONSENT

Sean Combs “Diddy ” afunguliwa kesi ya unyanyasaji wa kingono

NYOTA WETU Rapa Sean Combs maarufu kama Diddy, anakabiliwa na kesi nyingine iliyofunguliwa na mwanamitindo wa zamani Crystal McKinney, mshindi wa zamani wa MTV’s 1998 ( Model Mission competition) , kesi iliyowasilishwa Jumanne katika mahakama ya shirikisho huko New York City. Kwa mujibu wa TMZ, Mwanamke huyo anadai kuwa rapa huyo alimshawishi kwa ahadi za… Continue reading Sean Combs “Diddy ” afunguliwa kesi ya unyanyasaji wa kingono

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner