Liverpool yamtangaza Arne Slot kumrithi Jurgen Klopp

MICHEZO Klabu ya Liverpool imemtangaza rasmi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Feyenoord ya nchini Uholanzi Arne Slot, kuwa mrithi wa Jurgen Klopp aliyeondoka klabuni hapo juzi Jumapili (Mei 19). Slot alitarajiwa kuwa Mkuu wa Benchi la Ufundi la Liverpool kabla ya kutangazwa na Uongozi wa Klabu hiyo, kwani aliwahi kuwathibitishia Waandishi wa Habari nchini… Continue reading Liverpool yamtangaza Arne Slot kumrithi Jurgen Klopp

Chelsea kumuuza Trevoh Chalobah

MICHEZO Klabu ya Chelsea iko tayari kumuuza Trevoh Chalobah kwa Pauni Milioni 25 msimu huu wa joto na inapania kutoa ofa kwa beki huyo mwenye umri wa miaka 24. Kwa mujibu wa Gazeti la Telegraph, Mchezaji huyo kutoka England alitakiwa na Tottenham, Bayern Munich na Nottingham Forest msimu uliopita wa joto. Pendekezo la kwanza kwa… Continue reading Chelsea kumuuza Trevoh Chalobah

Mohamed Salah aonyesha nia ya kusalia Liverpool

MICHEZO Mshambuliaji kutoka nchini Misri Mohamed Salah ameonesha nia ya kutaka kubaki Liverpool, licha kuhusishwa na mpango wa kutaka kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Mshambukliaji huyo amekuwa akihusishwa na mpango wa kuhamia nchini Saudi Arabia, na ilielezwa mwanzoni mwa msimu wa 2023/24 alikaribia kujiunga na moja ya klabu zinazocheza Ligi ya nchi hiyo, ambayo inaendelea… Continue reading Mohamed Salah aonyesha nia ya kusalia Liverpool

Kocha Ange Postecoglou ataka watatu Tottenham

MICHEZO Kocha Mkuu wa Kikosi cha Tottenham Ange Postecoglou ameushinikiza Uongozi wa klabu hiyo kuhakikisha unafanya usajili wa wachezaji angalau watatu wapya, ambao wataongeza nguvu kwenye kikosi chake msimu ujao 2024/25. Kocha huyo raia wa Australia, yuko katika hali mbaya baada ya kumalizika kwa msimu akiwa katika mazingira magumu, kuafutia kikosi chake kufanya hovyo kwenye… Continue reading Kocha Ange Postecoglou ataka watatu Tottenham

Mwanzo Mwisho wa Maisha ya Ebrahim Raisi kiongozi mkuu wa Iran

NYOTA WETU Ebrahim Raisolsadati maarufu kama Ebrahim Raisi aliyekuwa amefikisha miaka 64, alikuwa akipigiwa upatu kuwa mrithi anayeweza kukalia kiti cha Ayatollah Ali Khamenei kama Kiongozi Mkuu, nafasi ambayo ni ya juu kabisa ya kisiasa na kidini katika jamhuri hiyo ya Kiislamu na akitajwa kama mtu mwenye msimamo mkali wa kidini. Alichaguliwa kuwa rais wa… Continue reading Mwanzo Mwisho wa Maisha ya Ebrahim Raisi kiongozi mkuu wa Iran

Toni Kroos atangaza kustaafu soka

MICHEZO Kiungo kutoka nchini Ujerumani na Klabu ya Real Madrid Toni Kroos amesema atastaafu kandanda baada ya Fainali za Mataifa ya Barani Ulaya Euro 2024, zitakazounguruma mwezi ujao. Msimu huu 2023/24 unakuwa wa mwisho kwa kiungo huyo kucheza soka katika ngazi ya Klabu akiwa na Real Madrid. Kroos alisajiliwa Real Madrid mwaka 2014 akitokea FC… Continue reading Toni Kroos atangaza kustaafu soka

Newcastle United kumsajili Giorgi Mamadashvili

MICHEZO Klabu ya Newcastle United inaandaa ofa ya kumsajili Mlinda Lango wa Valencia, Giorgi Mamadashvili. Kipa huyo kutoka nchini Georgia anatarajiwa kuuzwa na Los Che msimu huu wa majira ya joto. Gazeti la The Times limeripoti kuwa, Newcastle wana nia ya kumpeleka Mamadashvili nchini England, ili kumpa changamoto Mlinda Lango wao wa sasa Nick Pope.… Continue reading Newcastle United kumsajili Giorgi Mamadashvili

Wairan waandamana kuomboleza kifo cha Ebrahim Raisi

HABARI KUU Maelfu ya watu wamekusanyika katikati mwa mji mkuu wa jimbo la Azerbaijan Mashariki, wakiomboleza huku wakiwa wamebeba picha za aliyekuwa rais wa Iran, Ebrahim Raisi aliyefariki katika ajali ajali ya Helikopta. Katika ajali hiyo, Ebrahim Raisi (63), aliaga dunia sambamba na Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi hiyo, Amir Abdollahian na Maafisa… Continue reading Wairan waandamana kuomboleza kifo cha Ebrahim Raisi

MANARA AIKOSOA TFF TENA

MICHEZO Aliyekuwa Mhamasishaji wa Klabu ya Young Africans, Haji Sunday Ramadhan Manara, amelishauri Shirikisho la Soka nchini Tanzania ‘TFF’ kuelekea mchezo wa Fainali Kombe la Shirikisho ‘CRDBFC’ utakaopigwa Mkoani Manyara, Juni 02, 2024. Mchezo huo utakaozikutanisha Young Africans na Azam FC zote za dar es salaam umepangwa kupigwa katika Uwanja wa Tanzanite uliopo mjini Babati,… Continue reading MANARA AIKOSOA TFF TENA

MAJOR REASONS WHY RELATIONSHIP END

LOVE TIPS ❤ 6 MAJOR REASONS WHY RELATIONSHIPS END Are you falling out of love with your partner? So why were you so madly in love in the beginning and you are so out of love at the moment? Check out some of the reasons why couples fall out of love 1. THE RELATIONSHIP WASN’T… Continue reading MAJOR REASONS WHY RELATIONSHIP END

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner