JE ISRAEL IMEHUSIKA KWENYE KIFO CHA RAIS WA IRAN IBRAHIM RAISI

MAKALA Imethibitika kwamba Rais wa Iran amefariki katika ajali iliyotokea jana. Mwenyekiti wa “Red Crescent” Iran, Kolivand, ametangaza kuwa mabaki ya helikopta iliyokuwa imembemba Rais Ebrahim Raisi na maafisa wengine kadhaa yamepatikana. Mabaki ya helkopta hiyo yamepatikana Masaa nane tangu kuripotiwa kutikea kwa ajali hiyo ambapo wataalamu wa uokozi wakisema hali mbaya ya hewa ndio… Continue reading JE ISRAEL IMEHUSIKA KWENYE KIFO CHA RAIS WA IRAN IBRAHIM RAISI

Iranian President Ibrahim Rais has died in helicopter crash

BREAKING NEWS President Ibrahim Raisi and Foreign Minister Hossain Amir Abdullahi have died in a helicopter crash, Reuters reports. The president inaugurated two dams built around the border between Iran and Azerbaijan and they were heading to Tabriz. The helicopter 50 km from Tabriz city. May was the case in the distance and the foggy… Continue reading Iranian President Ibrahim Rais has died in helicopter crash

Rekodi ya Pep Guardiola dhidi ya Alex Ferguson

MICHEZO Baada ya kuiongoza Manchester City kushinda ubingwa wa Ligi Kuu England kwa mara ya nne mfululizo, Pep Guardiola ameshinda jumla ya mataji 17 tangu atue klabuni hapo. Man City inakuwa timu ya kwanza katika historia ya Ligi kuu England kutwaa ubingwa mara nne mfululizo rekodi ambayo hata kocha wa zamani wa Manchester United, mkali… Continue reading Rekodi ya Pep Guardiola dhidi ya Alex Ferguson

THINGS NOT TO DO IMMEDIATELY AFTER A BREAK UP IN RELATIONSHIPS

LOVE TIPS ❤ 1) RUN INTO ANOTHER RELATIONSHIP Don’t try to use a new relationship to forget an old one, Relationship is not a App you install just to help you forget your Ex, after you forget your ex, what then happens to the INSTALLED App? Don’t let mourning confuse you. 2) ISOLATE YOURSELF FROM… Continue reading THINGS NOT TO DO IMMEDIATELY AFTER A BREAK UP IN RELATIONSHIPS

RAIS WA IRAN IBRAHIMU RAISI ATHIBITIKA KUFARIKI KWENYE AJALI YA HELIKOPTA

HABARI KUU Taarifa iliyotolewa na kituo cha Televisheni cha Serikali ya Iran zimesema hakuna dalili za watu kuwa hai kufuatia kuanguka kwa helikopta iliyombeba Rais wa nchi hiyo Ebrahim Raisi pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo IHossein Amir-Abdollahian. Awali ilielezwa kuwepo kwa hali mbaya ya hewa ukiwepo ukungu mwingi katika eneo… Continue reading RAIS WA IRAN IBRAHIMU RAISI ATHIBITIKA KUFARIKI KWENYE AJALI YA HELIKOPTA

Moises Caicedo has spoken out after his incredible strike against Bournemouth

SPORTS Chelsea midfielder Moises Caicedo has spoken out after his incredible strike against Bournemouth. In the final match of the Premier League season, Chelsea beat Bournemouth 2:1. “It was an amazing goal,” the Ecuadorian official website quoted the Premier League as saying. “I had the opportunity to shoot and I did it. I just wanted… Continue reading Moises Caicedo has spoken out after his incredible strike against Bournemouth

MAZIKO YA ASKOFU ALIYEJINYONGA YASUBIRI UCHUNGUZI

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

Diddy ajutia alichokifanya kwa mpenzi wake Cassie Ventura

NYOTA WETU Mwanamuziki mashuhuri wa Marekani, Sean “Diddy” Combs amezungumzia juu ya video ya mwaka 2016 iliyovuja hivi karibuni ikimwonesha akimshambulia kwa kumkamata, kumsukuma, kumsukasuka, kumburuza na kumpiga mateke mpenzi wake wa zamani, Cassie Ventura. Kutokana na video hiyo Diddy ameomba radhi juu ya kitendo alichoonekana akikifanya na kukubali kuwajibika kwa aliyoyafanya huku akiahidi kuwa… Continue reading Diddy ajutia alichokifanya kwa mpenzi wake Cassie Ventura

Diddy issues public apology following the a video showing him physically assaulting his former partner Cassie on the Internet

CELEBRITIES Diddy, a renowned American hip-hop artist and successful entrepreneur, has publicly expressed his remorse in a widely circulated online video. This apology comes in the wake of a video surfacing where he was seen engaging in physical assaulting his former partner, Cassie, at a hotel. On May 19th, 2024, Diddy took to his official… Continue reading Diddy issues public apology following the a video showing him physically assaulting his former partner Cassie on the Internet

JESHI LAZIMA JARIBIO LA MAPINDUZI DRC

HABARI KUU Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limetangaza kuzuia jaribio la mapinduzi dhidi ya Rais Felix Tshisekedi huko Kinshasa. Hayo yamebainishwa na Msemaji wa jeshi la DR Congo Brig Jenerali Sylavin Ekenge katika kituo cha runinga cha taifa RTNC TV ambapo amesema kuwa washukiwa kadhaa wamezuiliwa na “hali sasa imedhibitiwa”. Tangazo hilo linajiri… Continue reading JESHI LAZIMA JARIBIO LA MAPINDUZI DRC

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner