HOW TO FIND INVESTORS AND FUNDS FOR YOUR BUSINESS

BUSINESS You might have an amazing business idea, but where there is not enough funding to carry it out, there’s every possibility that the business will crash. How then can find people to invest in your business so you can make profits? Let us show you; 1. Have a feasible business idea:✅A lot of business… Continue reading HOW TO FIND INVESTORS AND FUNDS FOR YOUR BUSINESS

HOW TO BUY COMPANY SHARES ON STOCK MARKET

BUSINESS We will use Malawi as an example. Start by contacting a Stockbroker, in Malawi we only have 3 companies as of now. A stockbroker is a licensed financial professional who acts as an intermediary between investors and the financial markets. They’ll assist you in setting up an account with the Central Securities Depository and… Continue reading HOW TO BUY COMPANY SHARES ON STOCK MARKET

ASKOFU AJINYONGA KISA MADENI NA MGOGORO

HABARI KUU Katika hali isiyokuwa ya kawaida Askofu wa Makanisa ya Methodist Tanzania Askofu Joseph Bundala, amekutwa amejinyonga katika Ofisi za kanisa hilo, lililopo Mtaa wa Sulungai Meriwa kata ya Ipagala jijini Dodoma, huku ikidaiwa kabla ya kuchukua uamuzi huo marehemu aliacha ujumbe wa kuwa amechukua uamuzi huo, kutokana na madeni pamoja na yeye kudai.

KINZUMBI YANGA MUSONDA MAZEMBE

MICHEZO YOUNG AFRICANS KAZI KWENU SASA. Tunafahamu kuwa klabu ya Yanga kwa kipindi kirefu imekuwa ikimuhitaji Winga raia wa Congo DR anayekipiga ndani klab ya Tp Mazembe Phillipe Kinzumbi (24), Kama ilivyo kwa klab ya Tp Mazembe imekuwa ikimuhitaji sana Mshambuliaji huyo raia wa Zambia tangu akiwa ligi kuu ya Zambia kabla ya kuwahiwa na… Continue reading KINZUMBI YANGA MUSONDA MAZEMBE

ASKOFU AJINYONGA KISA MADENI NA MGOGORO

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

INCREDIBLE THINGS THAT HAPPENS TO A WOMAN’S BODY WHEN SHE IS HAVING SEX

LOVE TIPS ❤ 19 INCREDIBLE THINGS THAT HAPPENS TO A WOMAN’S BODY WHEN SHE IS HAVING SEX: A woman’s body unlike the man’s own is quite complicated and a lot of things go on when she’s digging it. 1.Her vagina begins to self-lubricate. 2.Her vagina expands and lengthens to accommodate whatever that is coming in… Continue reading INCREDIBLE THINGS THAT HAPPENS TO A WOMAN’S BODY WHEN SHE IS HAVING SEX

THE SEX YOU MUST NOT HAVE

LOVE TIPS ❤ The only sex you should have is with your Legally wedded partner. God Bless you all

NCHI YA DOMINICA NA SHERIA NZURI YA KUZUIA NDOA KUVUNJIKA

MAPENZI Wakubwa wanasema ndoa ni muungano kati ya watu wawili au zaidi unaokubaliwa na kuheshimiwa na jamii na tukio la kuanzishwa kwa ndoa huitwa harusi, ila kabla ya ndoa kuna kipindi cha uchumba ambapo wawili waliokubaliana huchunguzana tabia na kujifunza au kujuana zaidi kabla ya kufunga pingu za maisha na kama wawili hao wataamua kukomesha… Continue reading NCHI YA DOMINICA NA SHERIA NZURI YA KUZUIA NDOA KUVUNJIKA

Serikali kuja na mpango huu wa usimamizi wa fedha za mikopo

HABARI KUU Serikali ipo katika maandalizi ya usimami wa mikopo ya asilimia 10 kwa kuamua kuanzisha kitengo maalumu cha usimamizi wa Mikopo hiyo kwa ngazi ya Wizara, na kamati ya usimamizi wa mikopo katikati ngazi ya Mikoa, Halmashauri na Kata. Ameyasema hayo Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa –… Continue reading Serikali kuja na mpango huu wa usimamizi wa fedha za mikopo

HESABU ZA SIMBA NA AZAM ZIKO SAWA

MICHEZO Bao pekee la mshambuliaji Fred Koublan limewawezesha wekundu wa Msimbazi Simba SC kuibuka na ushindi muhimu ugenini wakiwazaba Dodoma Jiji FC 1-0 Ushindi huo umeifanya Simba SC kufikisha alama 60 sawa na Azam FC baada ya michezo 27 kwenye ligi hiyo wote wakiwania kumaliza nafasi ya pili kwenye msimamo ili kupata tiketi ya kuwakilisha… Continue reading HESABU ZA SIMBA NA AZAM ZIKO SAWA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner