HESABU ZA AZAM FC ZIKO HIVI ZA KUBEBA KOMBE LA FA

MICHEZO Kocha Mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo ameweka wazi dhamira na malengo yake ya kuhakikisha anatwaa taji la FA msimu huu 2023/24. Azam FC itacheza na Coastal Union keshokutwa Jumamosi (Mei 18) Katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, kuwania nafasi ya kucheza fainali ya michuano hiyo ya pili kwa ukubwa kwa ngazi za… Continue reading HESABU ZA AZAM FC ZIKO HIVI ZA KUBEBA KOMBE LA FA

VITA YA BANDARI ZA DAR NA MOMBASA YAMPELEKA RUTO KWA MUSEVENI

HABARI KUU Rais wa Kenya, William Ruto na mgeni wake Rais wa Uganda, Yoweri Museveni wametia saini mikataba mbalimbali ya ushirikiano, ikiwemo usafirishaji wa mafuta ya Petroli kutoka Kampala kupitia Bandari ya Kenya. Utiaji wa saini huo, hautaathiri mpango wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka mjini Eldoret katika mkoa wa bonde la ufa nchini,… Continue reading VITA YA BANDARI ZA DAR NA MOMBASA YAMPELEKA RUTO KWA MUSEVENI

BULAYA AIKUMBUSHA SERIKALI KULIPA DENI LA BILIONI 18

HABARI KUU Mbunge wa Viti maalumu, Ester Bulaya ameikumbusha Serikali kulipa madeni ya Vyombo vya Habari ili viwezi kujiendesha, kauli ambayo inakuja ikiwa wiki moja imepita tangu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko kuhimiza suala hilo. Akiongea hii leo Mei 16, 2024 Bungeni Jijini Dodoma Bulaya amesema Serikali inadaiwa zaidi ya… Continue reading BULAYA AIKUMBUSHA SERIKALI KULIPA DENI LA BILIONI 18

Timu zapigana vikumbo kumnasa Ashley Cole

MICHEZO Ashley Cole ameripotiwa kuwekwa kwenye mipango ya kupewa kazi ya ukocha. Beki huyo wa zamani wa England mwenye umri wa miaka 43, alifurahia maisha yake matata sana kwenye kipindi chake alichokuwa mchezaji kabla ya sasa kuingia kwenye ukocha. Aliwahi kufanya kazi chini ya Frank Lampard na Wayne Rooney huko Birmingham. Cole amebaki kwenye kikosi… Continue reading Timu zapigana vikumbo kumnasa Ashley Cole

Ziara ya Vladmir Putin China yazua wasiwasi kwa Marekani na washirika wake

HABARI KUU Rais wa Urusi, Vladmir Putin yupo nchini China kwa ziara ya kikazi ya siku mbili akiendeleza mazungumzo na mwenyeji wake Rais Xi Jinping ambaye amesema ana matumaini ya kurejea kwa amani barani Ulaya na kwamba China itahakikisha jambo hilo linafanikiwa. Kwa mujibu wa Mtaalamu wa Masomo ya Kimkakati na ulinzi, Matthew Sussex amesema… Continue reading Ziara ya Vladmir Putin China yazua wasiwasi kwa Marekani na washirika wake

Antonio Conte na Napoli kama kimeeleweka

MICHEZO Wawakilishi wa SSC Napoli walikutana na Antonio Conte mjini Turin, wakati AC Milan wanaonekana kama hawana nia tena ya kumchukua kocha huyo kutoka nchini Italia. Inadaiwa SSC Napoli ilikutana na Conte huko Turin, ikimuahidi ofa kocha huyo wa zamani wa Juventus na Inter Milan kiasi cha Euro milioni 6.5 (sawa na Sh Bilioni 18)… Continue reading Antonio Conte na Napoli kama kimeeleweka

SIMBA IJAYO ITAKUWA TAMU YAMNASA HUYU

MICHEZO Baada ya kumkosa katika dirisha dogo la usajili lililofungwa Januari 2024, mwaka huu, Klabu ya Simba imeanza tena mchakato wa kusaka huduma ya winga na kiungo mshambuliaji wa Ihefu, raia wa Togo, Marouf Tchakei. Simba SC imepania kwa kiasi kikubwa kufumua kikosi chake na kutengeneza timu mpya yenye ushindani kwa ajili ya msimu jao… Continue reading SIMBA IJAYO ITAKUWA TAMU YAMNASA HUYU

MAMBO MAKUU 4 YA KUZINGATIA KABLA YA KUFANYA TENDO LA NDOA

MAPENZI Fahamu mambo 4 muhimu unayopaswa kuyazingatia uwapo chumbani na mpenzi wako mnapotaka kufanya mapenzi 1. WEKEZA MAWAZO YAKO KWA MPENZI WAKOPindi uwapo chumbani na mpenzi wako jaribu kuwekeza mawazo yako kwa mpenzi wako ulie nae kwa muda ule, epuka kufikiria mambo ya nje yaliyotendeka usiyape nafasi mawazo yako kufikiria vitu vingine. Unapokuwa chumbani na… Continue reading MAMBO MAKUU 4 YA KUZINGATIA KABLA YA KUFANYA TENDO LA NDOA

Robert Fico apigwa risasi tano

BREAKING NEWS Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico, amelazwa hospitalini Jumatano baada ya kupigwa risasi tano katika jaribio la mauaji ambalo lilishangaza nchi. Shambulio hilo lilitokea baada ya mkutano wa serikali nje ya eneo katika mji wa kati wa Slovakia wa Handlova. Mtu anayeshukiwa kuwa na bunduki alikuwa miongoni mwa umati mdogo wa watu waliokuwa wakisubiri kusalimiana… Continue reading Robert Fico apigwa risasi tano

TUKIO LA UZINDUZI WA FILAMU YA “AMAZING TANZANIA ” LILIVYOFANYIKA CHINA

HABARI KUU Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeadhimisha Miaka 60 ya Kidiplomasia kati yake na China sambamba na uzinduzi wa mwaka wa Utalii na Utamaduni ulioambatana na uzinduzi rasmi wa filamu ya “Amazing Tanzania” Mei 15, 2024 jijini Beijing China. Akizungumza katika Maadhimisho hayo Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb)… Continue reading TUKIO LA UZINDUZI WA FILAMU YA “AMAZING TANZANIA ” LILIVYOFANYIKA CHINA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner