WAWILI MBARONI KWA KUPANGA NJAMA ZA KUMUUA RAIS

HABARI KUU Kufuatia jaribio la Maafisa wawili katika idara ya ulinzi wa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy kukamatwa wiki hii wakidaiwa kutaka kujaribu kumuua Rais huyo, Mkuu wa Idara ya Usalama, Sergiy Leonidovich Rud amefutwa kazi. Zelenskiy ametoa amri ya kumfuta kazi Sergiy bila kutaja sababu ya hatua hiyo na bado haijafahamika ni nani atakayerithi… Continue reading WAWILI MBARONI KWA KUPANGA NJAMA ZA KUMUUA RAIS

MWALIMU ALIYETOA ADHABU YA KUZIBUA VYOO HATIANI

HABARI KUU Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi imempumzisha majukumu yake Mwalimu Ndikuliyo Mbatenga, anayedaiwa kuwalazimisha Wanafunzi kuzibua vyoo kwa kutumia mikono kama adhabu, pasipo tahadhari ya kiafya. Hatua hiyo, inakuja baada ya Wananchi wa Mtaa wa Kawalyowa Kata ya Ilembo, kulalamikia kitendo cha Mwalimu huyo anayefundisha Shule ya Sekondari Kawalyowa kuwalazimisha… Continue reading MWALIMU ALIYETOA ADHABU YA KUZIBUA VYOO HATIANI

Askofu BAGONZA awavua nguo Wahubiri miujiza atoa msimamo huu

NYOTA WETU POTOFU HUZAA POTOSHI au POTOSHI HUZAA POTOFU? Dayosisi 7 za KKKT katika kanda ya Ziwa na Magharibi, kupitia Chuo cha Theologia na Biblia cha Nyakato, zinatekeleza mradi muhimu kuhusu mafundisho ya imani. Mradi huu unaoitwa “Theologia Potoshi” (Misleading Theology) unagusa nyanja karibu zote za maisha ya mwanadamu. Kupitia mradi huu, mkataba wa ushirikiano… Continue reading Askofu BAGONZA awavua nguo Wahubiri miujiza atoa msimamo huu

JELA MIAKA 30 KWA KUMMWAGIA TINDIKALI USONI MCHUMBA WAKE

HABARI KUU Mohamed Mwarandu Kombe (30), amehukumiwa miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kummwagia tindikali usoni aliyekuwa mchumba wake, Fatma Kaingu (23). Hukumu hiyo, imetolewa na Mahakama ya Mombasa Nchini Kenya baada ya mshitakiwa kupatikana kosa hilo lililomsababishia Fatma kuwa kipofu. Hakimu mkaazi Mwandamizi, Gladys Olimo amesema amezingatia ushahidi uliotolewa na upande… Continue reading JELA MIAKA 30 KWA KUMMWAGIA TINDIKALI USONI MCHUMBA WAKE

CHAD YAMPATA RAIS MPYA WA MPITO

HABARI KUU Kwa mujibu wa matokeo ya awali ya Tume ya Uchaguzi, Rais wa mpito wa Chad, Mahamat Idriss Déby Itno, ameshinda uchaguzi wa Urais wa Mei 6 kwa asilimia 61.03 ya kura, mbele ya mpinzani wake mkuu, Waziri Mkuu Succès Masra, aliyepata kura 18.53%. Hata hivyo Bw.Masra amedai kushinda uchaguzi huo katika raundi ya… Continue reading CHAD YAMPATA RAIS MPYA WA MPITO

Music producer Young John posted a video on social media featuring himself and Davido’s cousin, Nike Adeleke

CELEBRITIES Music producer Young John posted a video on social media featuring himself and Davido’s cousin, Nike Adeleke, who has a prominent physical feature. A viral video featuring Nigerian Afropop star Young John and Nike Adeleke, cousin of popular singer Davido, has sparked reactions on social media due to their evident chemistry. Yesterday May 9th,… Continue reading Music producer Young John posted a video on social media featuring himself and Davido’s cousin, Nike Adeleke

WHY SILENCE AFTER SEX

LOVE TIPS ❤ Women should understand by now that Sex is not attaching to men and “some men “have sex just for fun and they can have it with many women as many times as they can. Women be careful as men are pursuing you or chasing you. A man can do literally anything just… Continue reading WHY SILENCE AFTER SEX

MILIONI 300 ZAMBAKISHA KIBU DENIS SIMBA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

MILIONI 300 ZAMBAKISHA KIBU DENIS SIMBA

MAGAZETI karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

HOW TO KNOW IF THE LOVE IS REAL

When someone loves you, you know and you will feel it. There will be evidences to attest to it.Below are some of the evidences.. .✅ ATTENTION When someone loves you, he or she will give you attention. We give attention to the things that we love. ✅ CAREWhen someone loves you, they will care about… Continue reading HOW TO KNOW IF THE LOVE IS REAL

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner