FREEMAN MBOWE ATAKA TANGANYIKA ITAMBULIKE KAMA ILIVYO ZANZIBAR

HABARI KUU Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe amesema ni wakati muafaka sasa kwa wananchi wa Tanganyika (Tanzania Bara) kuacha nidhamu ya woga na aibu katika kuzungumzia maslahi yao kwenye Muungano wa Tanzania, na kwamba jinsi wanavyoendeleleza woga huo ndivyo wanavyoendelea kupoteza kesho yao kwa kuizika historia ya nchi yao… Continue reading FREEMAN MBOWE ATAKA TANGANYIKA ITAMBULIKE KAMA ILIVYO ZANZIBAR

Fan of Nigerian superstar Wizkid made a generous offer to an Abuja barber who went viral for his unique haircut design ft Wizkid

CELEBRITIES The barber was promised a substantial sum of N2 million. Callistus Chisom Okolie, a barber from Abuja and a fervent Wizkid supporter, gained recognition after a viral interaction with renowned Nigerian musician Davido. Okolie made a statement online, which he refers to Wizkid as the “third biggest musician in the industry.” Davido expressed his… Continue reading Fan of Nigerian superstar Wizkid made a generous offer to an Abuja barber who went viral for his unique haircut design ft Wizkid

GODBLESS LEMA ATULIZA UPOTOSHAJI NDANI YA CHADEMA

HABARI KUU Aliyewahi kuwa mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema ameeleza kuwa hakuna vita ya nafasi ya kugombea Urais ndani ya Chama hicho katika uchaguzi ujao huku akisema amewahi kumsikia Makamu mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu akiweka wazi kuwa hawezi kuchukua fomu ambayo imeguswa na mwenyekiti wake Freeman Mbowe Kumekuwa na mijadala… Continue reading GODBLESS LEMA ATULIZA UPOTOSHAJI NDANI YA CHADEMA

CHARLES KITWANGA awatetea polisi kuhusu rushwa na kuwabambikia raia kesi

NYOTA WETU Mwanasiasa wa siku nyingi na aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Nchini, Charles Kitwanga amekemea tabia ya kuwalaumu Polisi moja kwa moja kuhusu mapungufu ya huduma yaliyopo katika utendaji wao wa kazi ikiwemo uadilifu, huku akitaka jamii inayohudumiwa na wanausalama hao kujitambua, ili kuleta mabadiliko. Kitwanga aliyasema hayo katika mahojiano maalumu aliyowahi… Continue reading CHARLES KITWANGA awatetea polisi kuhusu rushwa na kuwabambikia raia kesi

15 REASONS WHY YOU ARE HAVING MARITAL PROBLEMS

LOVE TIPS ❤ 1. TO TEST YOUR LOVEThe moment you profess love for someone, challenges will come to test if you both are serious about it. Love must be tested to see if it will withstand the fire. Can your love stand the test of time? 2. THE RAWNESS OF BEING NAKEDNothing strips you naked… Continue reading 15 REASONS WHY YOU ARE HAVING MARITAL PROBLEMS

The history of Pepe Kalle “Le Grand Kallé”

CELEBRITIES Pépé Kallé, sometimes written as Pepe Kalle (November 30, 1951 – November 29, 1998) was a Congolese soukous singer, musician and bandleader.Pépé Kallé was born Kabasele Yampanya in Kinshasa (then Léopoldville) in the Belgian Congo, but later assumed his pseudonym in hommage to his mentor, Le Grand Kallé. With a multi-octave vocal range and… Continue reading The history of Pepe Kalle “Le Grand Kallé”

Davido expressed his gratitude and sent a heartfelt message to Chris Brown

CELEBRITIES Davido expressed his gratitude and sent a heartfelt message to Chris Brown on his birthday, acknowledging Brown’s positive impact on his life. Famous Nigerian musician David Adeleke, celebrated the 35th birthday of his American friend and fellow singer Chris Brown, expressing his appreciation. Nigerian singer Davido used his Instagram to express his appreciation for… Continue reading Davido expressed his gratitude and sent a heartfelt message to Chris Brown

SAFARI YA ZITTO KABWE KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA HIKO HIVI

HABARI KUU Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu amesema kuwa wao kama Chama katika miaka yao 10 kama Chama chenye usajili wa kudumu, wameweza kujijenga kitaasisi na hivyo wako tayari kuchukua mamlaka ya Nchi Zanzibar na Tanzania bara kwa kumsimamisha Kiongozi wao Mstaafu wa Chama Zitto Kabwe kuwa Raisi wa Jamhuri ya… Continue reading SAFARI YA ZITTO KABWE KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA HIKO HIVI

Sababu kwanini ongezeko la talaka ni kubwa siku hizi

MASTORI Naombeni ushauri wenu.. Wake zetu wanatuvua nguo… Jana ndo niliweza kuthibitisha hili, nilikuwa siamini kabisa… Nilijaribu kumtongoza shemeji angu mke wa rafiki yangu, na hii ilikuwa mpango wetu mimi na rafiki yangu. Nakumbuka ilikuwa tar 31 /3/2024 siku ya pasaka, tulitoka out mimi na rafiki yangu. Tulienda club moja ipo Mbezi Beach – makonde,… Continue reading Sababu kwanini ongezeko la talaka ni kubwa siku hizi

WATOTO WATAKAOFANIKIWA WATATOKANA NA AINA HIZI ZA WAZAZI

MASTORI Sayansi inasema wazazi wenye watoto waliofanikiwa wana mambo haya 10 ya kufanana Mzazi yeyote mwema hupenda watoto wake wasiingie kwenye matatizo, wafanye vizuri masomoni na kufanya kazi za maana utu uzimani. Kwakuwa hakuna muongozo maalumu wa kukuza watoto wenye mafanikio, saikolojia imeweka bayana sababu lukuki za kumtabiria mtoto mafanikio na si ajabu kuona kwamba… Continue reading WATOTO WATAKAOFANIKIWA WATATOKANA NA AINA HIZI ZA WAZAZI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner