Wanajeshi waliokimbia vita wahukumiwa kunyongwa

HABARI KUU Mahakama ya kijeshi katika mji wa Goma huko Kivu Kaskazini Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imewahukumu kifo maofisa wanane wa jeshi la Congo (FARDC) baada ya kuwaona na hatua ya kukimbia vita na kutoheshimu sheria za kijeshi. Miongoni mwao ni Kanali Shamba, mkuu wa kikosi cha makomando pamoja na msaadizi… Continue reading Wanajeshi waliokimbia vita wahukumiwa kunyongwa

Mfahamu Didi-Stone mmoja wa watoto 7 wa Mwanamziki nguli Koffi Olomide

NYOTA WETU Didi-Stone Olomidé ambaye amepewa jina kutokana na mjomba wake, Didi na muigizaji kutoka Marekani Sharon Stone. “Nilipokuwa mwanafunzi, ndoto yangu ilikuwa kumpata mtoto mmoja tu: msichana. Na Didi Stone akazaliwa. Nimempa jina Didi Stone kwa vile, jina la kwanza la Didi ni la kaka yangu ambaye alifariki karibu wakati huo huo (1999). Nilijiahidi… Continue reading Mfahamu Didi-Stone mmoja wa watoto 7 wa Mwanamziki nguli Koffi Olomide

THINGS TO CONSIDER WHEN YOU VISITING YOUR INLAWS THE FIRST TIME

LOVE TIPS ❤ 1) Research about Them…✍🏾 Know what to expect, ask your partner about their culture, how they greet over there, don’t go and say “Hi, good Afternoon Everybody” when they expect you to probably kneel to greet. You could learn how to greet in their language too (if you are from a different… Continue reading THINGS TO CONSIDER WHEN YOU VISITING YOUR INLAWS THE FIRST TIME

“NILITOLEWA USICHANA WANGU MARA MBILI” Wastara

NYOTA WETU “Mimi nilitolewa bikra mara mbili, mara ya kwanza nilitolewa nikiwa na miaka 14 nililazimishwa kuolewa, nilikaa kwenye hiyo ndoa miezi mitano tukaachana na mwenzangu lakini wakati huo tayari nilikuwa mjamzito. Nilipojifungua njia ilikuwa ndogo wakaingeza wakati wa kuirudisha daktari aliyenishona alishona sehemu yote nilibaki na sehemu ya haja tu “Baadae walinitoa nyuzi wakanishona… Continue reading “NILITOLEWA USICHANA WANGU MARA MBILI” Wastara

9 MISTAKES LADIES MAKE IN THE NAME OF MARRIAGE

LOVE TIPS ❤ 1. MARRYING AN OLDER MAN:I don’t think marrying older men is bad but marrying someone that is old enough to be your father or older than your father, I’d a bit tricky.Long term physical and ideological discrepancies will set in. Take care. 2. PLEADING, BEGGING & CRYING FOR MEN to marry them;… Continue reading 9 MISTAKES LADIES MAKE IN THE NAME OF MARRIAGE

13 WAYS TO CORRECT YOUR WIFE WITHOUT HURTING HER FEELINGS

LOVE TIPS ❤ 1: LOWER YOUR VOICEDon’t shout at her, she is not your child. You can correct, yes, but why shouting? 2: DO IT IN LOVECorrection should be done in love. If done in any other way, it turns to criticism and condemnation. 3a: DON’T CRITICIZEStop criticizing her, rather correct in love. Most will… Continue reading 13 WAYS TO CORRECT YOUR WIFE WITHOUT HURTING HER FEELINGS

35 QUALITIES OF A REAL MAN

LOVE TIPS ❤ When searching for that special someone, it’s always good to have an image of what he should be like. It’s awfully easy for a man to puff up his chest and put on a show, but how can you know if he is a real man? Discover the truth today with these… Continue reading 35 QUALITIES OF A REAL MAN

WHY STRONG WIFE IS A POISON TO YOUR MARRIAGE

LOVE TIPS ❤ Congratulations on having a strong wife but know that the same thing you admire might be killing her slowly. Last year, I felt terribly sad about the news of a healthy woman who just slummed and couldn’t make it alive and stress was one of the factors. It seems I’m talking to… Continue reading WHY STRONG WIFE IS A POISON TO YOUR MARRIAGE

SUALA LA KIBU DENIS LINACHEZESHWA NA HUYU MWAMBA

MAKALA Pichani ni Carlos Sylvester [Mastermind], Agent wa wachezaji mbalimbali kwenye ligi yetu akiwa na viongozi wa Timu za Simba na Yanga. Pale Yanga anawasimamia wachezaji wawili, Bakari Nondo Mwamnyeto na Gift Mauya na Simba ana wachezaji wanne ambao ni Mzamiru Yassin,Kibu Denis, Mohamed Hussein na Hussein Kazi. Kibu Denis,Mzamiru Yassin na Mwamnyeto mikataba yao… Continue reading SUALA LA KIBU DENIS LINACHEZESHWA NA HUYU MWAMBA

ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WASIO HURU

UCHAMBUZI ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WATUMWA “WASIOHURU. SIKU WAKIPATA UHURU WAO HAYO NDIO HUTOKEAGA. Anaandika Robert Heriel Mtibeli Huwezi mfanya Mwanamke mtumwa alafu ukamuita Mkeo. Unajua Watu wengi wamechukua wanawake na kuwageuza watumwa wa kingono na vijakazi wao alafu hujinasibu kuwa Wameoa. Hakuna ndoa ya hivyo. Sema umemnunua Mwanamke… Continue reading ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WASIO HURU

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner