MFAHAMU ARNE SLOT MRITHI MPYA WA KLOPP LIVERPOOL

MICHEZO Uongozi wa Klabu ya Liverpool utakuwa na upinzani mkali kutoka kwa FC Bayern Munich, katika vita ya kuiwania saini ya Kocha wa Klabu ya Feyenoord ya Uholanzi Arne Slot. Meneja wa Bayern Thomas Tuchel ataondoka mwishoni mwa msimu huu 2023/24, baada ya mambo kumuendea vibaya na tayari uongozi umeshafikia makubaliano ya kuachana naye. Gazeti… Continue reading MFAHAMU ARNE SLOT MRITHI MPYA WA KLOPP LIVERPOOL

Mauricio Pochettino hana presha ndani ya Chelsea

MICHEZO Licha ya kufungwa mabao 5-0 na Arsenal juzi Jumanne (Aprili 23), Uongozi wa Klabu ya Chelsea bado haijaamua mustakabali wa Kocha Mkuu wa kikosi chao Mauricio Pochettino. Gazeti la Telegraph la nchini England limeandika kuwa Kocha huyo kutoka nchini Argentina, bado anaungwa mkono na Uongozi wa klabu hiyo, na huenda akawa ushirikiano mkubwa kuelekea… Continue reading Mauricio Pochettino hana presha ndani ya Chelsea

Uwanja wa Uhuru kukarabatiwa kwa bilioni 19

MICHEZO Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesaini Mkataba wa ukarabati wa uwanja wa uhuru uliopo jijini Dar es salaam na kampuni ya CRSEG ya China. Katika hafla ya utiaji saini wa mkataba huo Serikali imeweka wazi gharama itakayotumika kukarabati huo ni bilioni 19.7 za Kitanzania na… Continue reading Uwanja wa Uhuru kukarabatiwa kwa bilioni 19

Davido expressed immense joy as he received his newly purchased private jet

CELEBRITIES Davido expressed immense joy as he received his newly purchased private jet, a Bombardier 7500 model, worth over 102 billion naira. Nigerian music superstar David Adeleke, also known as Davido, is expressing joy after getting his new Bombardier 7500 private jet, worth a whopping N102 billion ($78 million). Earlier in April 2024, Davido had… Continue reading Davido expressed immense joy as he received his newly purchased private jet

Tinubu administration has taken steps to address poverty and insecurity by implementing a nationwide financial inclusion plan

HEADLINES The Nigerian government under President Bola Ahmed Tinubu aims to combat poverty and insecurity by implementing financial inclusion for all citizens. Senator Ibrahim Hassan Hadejia, Deputy Chief of Staff to the President, confirmed this in a statement to the media. He stated that high-level discussions are ongoing to establish a plan for integrating unbanked… Continue reading Tinubu administration has taken steps to address poverty and insecurity by implementing a nationwide financial inclusion plan

Many commuters and car drivers are concerned as traffic congestion returns in Abuja and five other states causing lengthy line of vehicles

HEADLINES A shortage of fuel has spread across various Nigerian states, sparking concerns among commuters and drivers. Numerous gas stations have closed, resulting in long queues at the limited outlets still distributing petrol. This has led to an increase in transportation costs in the affected areas, as the few transporters with fuel have inflated their… Continue reading Many commuters and car drivers are concerned as traffic congestion returns in Abuja and five other states causing lengthy line of vehicles

Nigerian singer Davido discloses that his father named him”Davido”

CELEBRITIES Nigerian singer-songwriter David Adeleke, also known as Davido, has shared the story behind his stage name. In a recent interview with Business Untitled, Davido disclosed that it was his father, billionaire businessman Mr. Adeleke, who gave him the name. While Davido’s father was initially hesitant about his son’s music career, he has since become… Continue reading Nigerian singer Davido discloses that his father named him”Davido”

“How I hired a tech professional to delete my leaked adult video from the Web and smartphones” TIWA SAVAGE

CELEBRITIES Nigerian singer and actress Tiwa Savage recently shared her struggles in dealing with the aftermath of her leaked adult tape in an interview with Angie Martins at Power 105.1 in New York. Tiwa Savage described the distress she faced in October 2021 when she was threatened by blackmailers due to the private video. The… Continue reading “How I hired a tech professional to delete my leaked adult video from the Web and smartphones” TIWA SAVAGE

ZIDANE AONYWA NA MPANGO WAKE WA KWENDA BAYERN MUNICH

MICHEZO Gwiji wa Soka nchini Ufaransa Marcel Desailly ameiambia Sport1 kuwa Zidane anapswa kuwa makini endapo mpango wa kupewa nafasi ya kuwa kocha mkuu FC Bayern Munich utafanikiwa kama inavyotajwa katika vyombo kadhaa vya habari nchini Ujerumani. Amesema Kocha huyo ambaye alicheza naye kwenye kikosi cha Ufaransa kilichotwaa Ubingwa wa Dunia mwaka 1998, anapaswa kuwa… Continue reading ZIDANE AONYWA NA MPANGO WAKE WA KWENDA BAYERN MUNICH

AHMED ALLY AIBUKIA KWA FRED MICHAEL KOUBLAN

MICHEZO Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally ameibuka na kuandika ujumbe kumuhusu Mshambuliaji kutoka nchini Ivory Coast Fred Michael ‘Funga Funga’. Mshambuliaji huyo alifunga moja ya mabao mawili yaliyoipa ushindi Simba SC katika mchezo wa kwanza wa Kombe la Muungano 2024 dhidi ya KVZ uliopigwa jana Jumatano (Aprili 24), Uwanja wa… Continue reading AHMED ALLY AIBUKIA KWA FRED MICHAEL KOUBLAN

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner