HUYU NDIYE MRITHI WA HENOCK INONGA AJAYE NDANI YA SIMBA SC

MICHEZO Mlinzi wa Klabu ya ASEC Mimosas, Anthony Tra Bi Tra anatajwa huko Msimbazi kwenda kuziba pengo la Henock Inonga ambaye Taarifa zinaeleza kuwa mwishoni mwa msimu anaelekea AS FAR Rabat ya Morocco. Nyota huyo raia wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 25 ameiongoza ASEC kutinga hatua ya robo Fainali ya CAF Champions League… Continue reading HUYU NDIYE MRITHI WA HENOCK INONGA AJAYE NDANI YA SIMBA SC

HALMASHAURI KUPIMWA KWA UBUNIFU VYANZO VIPYA VYA MAPATO

HABARI KUU Kigezo cha ziada ya kuzipima Halmashauri zote nchini kuanzia mwaka wa fedha ujao ni kila Halmashauri kubuni vyanzo vipya vya mapato kuanzia viwili na kuendelea kwa kila mwaka wa fedha, huku viongozi wa Halmashauri zote nchini kuzingatia matumizi ya mifumo katika shughuli zote za utumishi, manunuzi na ukusanyaji wa mapato. Hayo yamebainishwa na… Continue reading HALMASHAURI KUPIMWA KWA UBUNIFU VYANZO VIPYA VYA MAPATO

JOSE MOURINHO AMPA ONYO MIKEL ARTETA

MICHEZO Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Chelsea na Man Utd Jose Mourinho amemuonya Kocha Mkuu wa Arsenal Mikel Arteta, akimtahadharisha kuhusu mbinu anazozitumia katika kipindi hiki cha kuelekea mwishoni mwa msimu huu 2023/24. Arsenal ni sehemu ya timu tatu zinazowania Ubingwa msimu huu, ikiwa kileleni kwa sasa kwa tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa… Continue reading JOSE MOURINHO AMPA ONYO MIKEL ARTETA

MBUNGE ATAKA PASSPORT ZIRUDI KUINGIA ZANZIBAR

HABARI KUU Mbunge wa Jimbo la Konde, Pemba, Mohamed Said Issa ameitaka Serikali irudishe utaratibu wa kuingia visiwani Zanzibar kwa hati ya kusafiria akidai visiwa hivyo vinahitaji kulindwa. Mohamed amesema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati akichangia Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwa mwaka wa fedha 2024/2025. “Sasa hivi Zanzibar imejaa… Continue reading MBUNGE ATAKA PASSPORT ZIRUDI KUINGIA ZANZIBAR

RAIS KUTEUA WAKURUGENZI NGOMA NZITO

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

12 Sex Skills You Should Have

LOVE TIPS ❤ 1. TALKING SKILLSSexual intimacy is nurtured by emotional intimacy which is achieved through having conversations. Learn to connect with your spouse through communication 2. KISSING SKILLSYou have to be a good kisser, learn how to give pleasure of the lips. Kiss not just the lips but fingers, shoulders, cheeks, navel and neck… Continue reading 12 Sex Skills You Should Have

THE FIVE LOVE LANGUAGES

LOVE TIPS ❤ THE FIVE LOVE LANGUAGESMany people have wrongly thought they have only one love language. Let us decode this. The 5 Love Languages concept was conceptualized by Dr. Gary Chapman in 1992. The five love languages are:1. Words of affirmation2. Quality time3. Physical touch4. Acts of service5. Receiving gifts Since then, many individuals… Continue reading THE FIVE LOVE LANGUAGES

HOW TO MAKE YOUR WIFE RESPECT YOU IN THE MARRIAGE

LOVE TIPS ❤ 10 WAYS ON HOW TO MAKE YOUR WIFE RESPECT AND SUBMIT TO YOU FOR LIFE. Making a woman do your wish, honour you, adore you, celebrate you, respect you and submit to you for life is not difficult at all. No woman on earth is difficult, except you married the devil’s own… Continue reading HOW TO MAKE YOUR WIFE RESPECT YOU IN THE MARRIAGE

GODLISTEN MALISA NA MEYA JACOB MIKONONI MWA POLISI KISA HIKI

HABARI KUU Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa ya uongo na uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kifo cha Robart Mushi ambaye picha yake imeambatanishwa kwenye taarifa hizo kuwa alipotea tarehe 11 Aprili, 2024 na baadae kugundulika katika Chumba cha kuhifadhi maiti katika Hospitali ya Polisi… Continue reading GODLISTEN MALISA NA MEYA JACOB MIKONONI MWA POLISI KISA HIKI

MKUU WA WILAYA ATOA AMRI YA KUWACHAPA VIBOKO WANAOTAKA KUVUNJA MUUNGANO

HABARI KUU MKUU wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amesema wananchi wote wanaotaka Muungano uvunjike wanatakiwa kuchapwa viboko ili iwe fundisho kwa watu wengine. Akizungumza wakati wa Mdahalo wa kuelekea kilele cha miaka 60 ya Muungano wa Tanzania, Moyo alisema kuwa kuna watu wanaotaka Muungano uvunjike kwa maslahi yao jambo ambalo halikubaliki katika jamiii… Continue reading MKUU WA WILAYA ATOA AMRI YA KUWACHAPA VIBOKO WANAOTAKA KUVUNJA MUUNGANO

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner