YUSUPH MANJI AIBUKA AMTAJA KIGOGO ANAYEFANYA SIMBA KUTOKUFANYA VIZURI

MICHEZO “Unajua wakati nikiwa Yanga, mtu pekee aliyekuwa ananipa wakati mgumu ni Hans Poppe. Huyu jamaa alikuwa anafanya kazi yake kuonesha kabisa kuwa Dabi inatakiwa kuwa na mvuto, alikuwa akizungumza na watu wanamuelewa, alinipa wakati mgumu sana. “Hata niliposikia amefariki, ukweli kibinadamu nilisikitika sana kwa kuwa alikuwa ni mtu muhimu kwenye soka, lakini nilijua kabisa… Continue reading YUSUPH MANJI AIBUKA AMTAJA KIGOGO ANAYEFANYA SIMBA KUTOKUFANYA VIZURI

UMEME WAMWIBUA MWITA WAITARA

HABARI KUU Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameitaka Serikali kupeleka umeme kwa Wachimbaji wadogo Msege akidai shughuli hiyo ilisimama mara baada ya Waziri kuahirisha ziara ya kutembelea eneo hilo. Waitara ameyasema hayo hii leo Aprili 23, 2024 Bungeni Jijini Dodoma wakati akiuliza swali kwa Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, kutaka kujua… Continue reading UMEME WAMWIBUA MWITA WAITARA

GABRIEL AMPIGIA CHAPUO SALIBA

MICHEZO Beki kutoka nchini Brazil na Klabu ya Arsenal Gabriel dos Santos Magalhães, amesema kuna mambo makubwa yanakuja kwa The Gunners ikiwa wanaweza kumaliza msimu huu kwa kushinda michezo yao yote iliyosalia, huku akijadili jinsi safu ya ulinzi ya klabu hiyo ilivyoimarika. Kabla ya mpambano wao mkali wa London daby dhidi ya Chelsea utakaopigwa baadae… Continue reading GABRIEL AMPIGIA CHAPUO SALIBA

Liquorose sparks BBL rumours in recent video

CELEBRITIES Liquorose shared a captivating video featuring her dancing alongside actor Deyemi Okanlawon. Donned in an elegant white dress, Liquorose commands aura and confidence as she shows off her moves. Moreover, what truly drew the attention of viewers was Liquorose’s body figure. Many netizens couldn’t help but observe the striking changes, particularly her flatter and… Continue reading Liquorose sparks BBL rumours in recent video

Liquorose sparks BBL rumours in recent video

CELEBRITIES Liquorose shared a captivating video featuring her dancing alongside actor Deyemi Okanlawon. Donned in an elegant white dress, Liquorose commands aura and confidence as she shows off her moves. Moreover, what truly drew the attention of viewers was Liquorose’s body figure. Many netizens couldn’t help but observe the striking changes, particularly her flatter and… Continue reading Liquorose sparks BBL rumours in recent video

Nicki Minaj throws back object at fans during tour

CELEBRITIES During her Detroit tour stop, Nicki Minaj faced a scary moment when someone threw something at her on stage. Nicki dodged it, grabbed the object, and threw it back at the crowd. Videos show the object narrowly missing her. She seemed upset but managed to continue the show. Luckily, no one got hurt. The… Continue reading Nicki Minaj throws back object at fans during tour

AYRA STARR EXCITES FANS AS SHE HINTS AT NEW ALBUM RELEASE

CELEBRITIES Popular Afrobeat singer, Ayra Starr leaves fans in eager anticipation as she teases her new album release next month in a new video. The “Rush” crooner shared a video of herself vibing to one of her unreleased songs with the caption, “Album drops next month.” Fans expressed their excitement in the comment section as… Continue reading AYRA STARR EXCITES FANS AS SHE HINTS AT NEW ALBUM RELEASE

FAITHIA WILLIAMS MOURNS AS SHE LOSES FATHER

CELEBRITIES Popular actress, Faithia Williams has been left heartbroken as she loses her father to the cold hands of death. She took to her Instagram page to break the sorrowful news with her followers. Fathia Williams expressed that she is devastated to have to tell her father goodnight. However, she prayed for the peaceful rest… Continue reading FAITHIA WILLIAMS MOURNS AS SHE LOSES FATHER

GARDNER G HABASH ALIVYOIPAISHA BONGO FLEVA

NYOTA WETU GARDNER G HABASH, THE INFOTAINER MTANGAZAJI wa redio mwenye sauti iliyomvutia kila mtu. Msanii wa sauti (the voice-over artist), aliyenakshi jingles. Mwendesha shughuli (MC), mwenye sanaa kubwa. Gardner Gabriel Habash. Tangu Mzee wa Kujinafasi hadi Babu Vipensi. Kutokea Gardner G mpaka Babu G. Mtangazaji wa dansi katika Afrika Bambataa, kisha akawa haiba ya… Continue reading GARDNER G HABASH ALIVYOIPAISHA BONGO FLEVA

” kauli za Rais Samia anatoa hela zinakera” Mbowe

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner