ALEJANDRO GARNACHO NA TEN HAG WAINGIA KWENYE MGOGORO

MICHEZO Manchester United wanaamini mshambuliaji kinda wa timu hiyo, Alejandro Garnacho amejiweka mbali na ugomvi ambao ungetokea kati yake na kocha wa timu hiyo, Erik ten Hag baada ya nyota huyo kuunga mkono habari kwenye mtandao wa kijamii inayomkosoa kocha huyo. Ingawa kwa mujibu wa chanzo kimoja kutoka ndani ya klabu hiyo bado mshambuliaji huyo… Continue reading ALEJANDRO GARNACHO NA TEN HAG WAINGIA KWENYE MGOGORO

ISRAEL YAOMBWA KUTOKULIPA KISASI

HABARI KUU Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ujerumani Annalena Baerbock na wa Uingereza David Cameron, wapo nchini Israel kuelezea wasiwasi wao kuhusu hofu ya mzozo unaoendelea Gaza, ikiwemo kutanuka kuwa mzozo wa kanda nzima iwapo litafanyika shambulio la kulipiza. Mawaziri hao, Annalena Baerbock alikutana na mwenzake wa Israel, Israel Katz wakati wa… Continue reading ISRAEL YAOMBWA KUTOKULIPA KISASI

DEREVA WA SHULE YA MEMORIAL ASOMEWA MASHTAKA

HABARI KUU Dereva wa Basi dogo la Shule ya Msingi Ghati Memorial, lililosombwa na maji na kuua wanafunzi nane jijini Arusha, Lukuman Hemed amepandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka nane, likiwemo la kuua bila kukusudia. Waendesha mashtaka wa Serikali, Yunis Makala na Amina Kiango wamesema Mshtakiwa huyo aliendesha gari aina ya Toyota hiace namba T496EFK April… Continue reading DEREVA WA SHULE YA MEMORIAL ASOMEWA MASHTAKA

CLEMENT MZIZE NA PRINCE DUBE WAZIKUTANISHA KATI AZAM NA YOUNG AFRICANS

MICHEZO Wakati tetesi zikieleza kuwa Uongozi wa Azam FC umewasilisha ofa kwa mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans ukihitaji huduma ya Mshambuliaji Clement Mzize, Mchambuzi wa Soka Tanzania Jemedari Said Kazumari amefichua baadhi ya mambo kuhusu ofa hiyo. Azam FC imekuwa ikitajwa kuwasilisha ofa hiyo tangu jana Jumatatu (Aprili 15), ikiamini Mshambuliaji huyo atatosha… Continue reading CLEMENT MZIZE NA PRINCE DUBE WAZIKUTANISHA KATI AZAM NA YOUNG AFRICANS

RAIS SAMIA SULUHU KUTUNUKIWA UDAKTARI

HABARI KUU Baraza la Chuo Kikuu cha Ankara, ambacho ni cha pili kwa ukubwa nchini Uturuki, limeamua kwa pamoja kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uchumi kwa kutambua Uongozi wake wa kipekee ambao umeleta mageuzi makubwa ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi nchini Tanzania.… Continue reading RAIS SAMIA SULUHU KUTUNUKIWA UDAKTARI

6 WAYS ON HOW TO SAVE A MARRIAGE FROM DIVORCE

LOVE TIPS ❤ Although there are some people who would say that getting a divorce was the best thing for them, there are far more individuals who would admit that it’s a decision that they regret. In fact, according to one published study:Yet, 50 per cent of divorcees have regrets about their break-up, a study… Continue reading 6 WAYS ON HOW TO SAVE A MARRIAGE FROM DIVORCE

TEMS IS BIGGER THAN TIWA SAVAGE

CELEBRITIES “Since that I won Grammy award a lot of people been saying that I’m bigger than Tiwa Sävage, which I see that a way of disrespecting her because she has been in the game for than a decade now, Tiwa is the queen of Afro beat we are just like children to her”. Tems… Continue reading TEMS IS BIGGER THAN TIWA SAVAGE

“YOU WILL APPLY FOR PODCAST IF I AM THE PRESIDENT ” TOOLZ ONIRU

CELEBRITIES Nigerian media personality, Toolz, has announced that if she was the president, people would apply for approval before doing any podcastYou will take permission to do podcast if i become president – Toolz Oniru SaysToolz also said that potential Podcasters would be subjected to sanity test before granting such approval. The OAP spoke in… Continue reading “YOU WILL APPLY FOR PODCAST IF I AM THE PRESIDENT ” TOOLZ ONIRU

LATE SOUND SULTAN’S WIFE CELEBRATES 40TH BIRTHDAY

CELEBRITIES To celebrate her special day, Farida shared a lovely family photo of herself and the four kids she shared with her late husband. Recall Farida and the late Sound Sultan were married for 11 years before he died on July 11, 2021, after a long battle with Throat cancer. Captioning the photo, she wrote;… Continue reading LATE SOUND SULTAN’S WIFE CELEBRATES 40TH BIRTHDAY

EFCC TO ARREST CUBANA CHIEF PRIEST OVER ABUSE OF NAIRA NOTE..

CELEBRITIES The Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) has filed a three-count charge against celebrity, Cubana Chief Priest for tampering with the naira at a social event contrary to the provisions of the Central Bank Act of 2007EFCC to arrest Cubana Chief Priest over abuse of Naira note . Cubana Chief Priest will be arraigned… Continue reading EFCC TO ARREST CUBANA CHIEF PRIEST OVER ABUSE OF NAIRA NOTE..

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner