(Click on the star on form card to select)
Hatimaye Rais wa Klabu ya FC Barcelona Joan Laporta amemfuta kazi kocha mkuu wa klabu hiyo Xavi Hernandez
Xavi ametimuliwa klabuni hapo wiki chache tu baada ya kushawishiwa kubadili uamuzi wake wa kujiuzulu kuifundisha timu hiyo alioutangaza katikati ya msimu Meneja wa zamani wa Bayer Munich na timu…