(Click on the star on form card to select)
Liverpool yamtangaza Arne Slot kumrithi Jurgen Klopp
MICHEZO Klabu ya Liverpool imemtangaza rasmi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Feyenoord ya nchini Uholanzi Arne Slot, kuwa mrithi wa Jurgen Klopp aliyeondoka klabuni hapo juzi Jumapili (Mei 19).…