Aliyekuwa Rais wa 39 wa Marekani, Jimmy Carter amefariki dunia Desemba 29, 2024 huko Georgia, nchini Marekani.
Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kwamba kutakuwa na siku ya kitaifa ya maombolezo itakayofanyika tarehe 9 Januari. Huku akiwasishi Wamarekani kutembelea maeneo ya ibada ili "kutoa heshima" kwa rais…