(Click on the star on form card to select)
JE ISRAEL IMEHUSIKA KWENYE KIFO CHA RAIS WA IRAN IBRAHIM RAISI
MAKALA Imethibitika kwamba Rais wa Iran amefariki katika ajali iliyotokea jana. Mwenyekiti wa “Red Crescent” Iran, Kolivand, ametangaza kuwa mabaki ya helikopta iliyokuwa imembemba Rais Ebrahim Raisi na maafisa wengine…