(Click on the star on form card to select)
ARSENAL NA LIVERPOOL WAINGIA KWENYE VITA YA ANTONY GORDON
MICHEZO Arsenal huenda ikaangukia pua katika mchakato wa kuwania saini ya Mshambuliaji wa Newcastle United, Alexandre lsak baada ya Liverpool kuonyesha nia ya kutaka kumsajili Antony Gordon kutoka hapohapo Newcastle.…