(Click on the star on form card to select)
Christina Shusho afunguka sababu ya kuiacha ndoa
NYOTA WETU "Nimeolewa nikiwa na miaka 19 nilipomaliza kidato cha nne nilikuwa mrembo sana, msinione hivi ni vile nimechoka tu, nilikuwa nikipita hivi wanaume walikuwa macho yote kwangu. Uzuri wangu…