(Click on the star on form card to select)
CHELSEA KUMPA MKATABA MPYA COLE PALMER
NYOTA WETU Imefahamika kuwa uongozi wa klabu ya Chelsea unajipanga kumsainisha mkataba mpya kiungo mshambuliaji Cole Palmer, baada ya kuonesha umahiri mkubwa kwenye kikosi cha klabu hiyo msimu huu 2023/24.…