AFYA YA PAPA FRANCIS YAZIDI KUZOROTA

NYOTA WETU Kwa mara nyingine tena Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis, alimuomba Msaidizi wake kumsomea somo la katekisimu wakati wa misa ya Jumatano. Papa aliongoza misa hiyo ya kila wiki ambayo kwa mara ya kwanza ndani ya mwaka huu ilifanyikia nje katika uwanja wa St.Peters. Kiongozi huyo pia alionekana kushindwa kupanda ngazi… Continue reading AFYA YA PAPA FRANCIS YAZIDI KUZOROTA

PAPA ALIWEKA KANISA KATOLIKI MTEGONI

HABARI KUU. Kauli ya Papa Francis ya kuruhusu mapadri kuwabariki wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja imezua taharuki Duniani. Kiongozi huyo wa Kanisa kubwa na lenye waumini wengi Duniani amesema sasa ni rasmi kwa Makasisi wa kanisa hilo kuruhusiwa kuwabariki wapenzi wa jinsia moja na wanandoa wasio wa asili. Lakini msimamo wa Vatican unataja baraka… Continue reading PAPA ALIWEKA KANISA KATOLIKI MTEGONI

HALI YA KIAFYA YA PAPA FRANCISCO IPO MASHAKANI

NYOTA WETU Hali ya kiongozi wa kanisa Katoliki Duniani Papa Francis bado si nzuri kwani jana alilazimika kumuomba msaidizi wake kusoma hotuba katika hadhira yake ambayo ufanyika kila jumatano Vatican. Wakati akitoa maoni ya mwisho Papa Francis alikuwa akitaabika kusema huku akikohoa. Wakati wa ujana kiongozi huyo alikatwa sehemu ya pafu lake moja na sasa… Continue reading HALI YA KIAFYA YA PAPA FRANCISCO IPO MASHAKANI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner