LIVERPOOL NA MANCHESTER UNITED HAKUNA MBABE

MICHEZO Manchester United wamepata sare ya 2-2 nyumbani dhidi ya Liverpool na kuwashusha majogoo hao kileleni kwenye msimamo wa EPL Arsenal sasa wanasalia kileleni na alama 71 sawa na Liverpool huku Manchester City wakiwanyatia kwa karibu wakiwa na alama 70 wakati huu timu zote zikiwa zimebakiza michezo 7 kutamatisha ligi hiyo. Bruno Fernandes alifunga kwa… Continue reading LIVERPOOL NA MANCHESTER UNITED HAKUNA MBABE

SCANDAL OF TUNDE EDNUT FOR ABANDONING VDM

OUR STAR 🌟 “He is busy posting and making his money” – Blessing Ceo mocks Tunde Ednut for abandoning VDM::::: Popular relationship therapist, Blessing CEO speaks on the deceptive nature of fans as she claims that the popular blogger, Tunde Ednut has abandoned his friend, Verydarkman who is still in police detention. Recall that the… Continue reading SCANDAL OF TUNDE EDNUT FOR ABANDONING VDM

Nyumba za Mfanyabiashara na Mwanamuziki Sean ‘Diddy’ Combs zilizopo Los Angeles na Miami zimevamiwa na Maafisa Usalama ikidaiwa wanafanya uchunguzi na upekuzi kuhusu tuhuma za Biashara ya Ngono na Biashara ya Binadamu zinazotajwa kuhusu staa huyo

Maafisa wa HSI ambacho ni Chombo Kikuu cha Uchunguzi cha Idara ya Usalama wa Taifa ya Marekani wamewafunga pingu baadhi ya Watu waliokutwa katika nyumba ya Los Angeles wakiwemo Watoto wa Diddy ambao ni King na Justin huku baba yao akiwa hajulikani alipo.

Inadaiwa ndege Binafsi ya Diddy imeonekana ikielekea Visiwa vya Caribbean kwa mujibu wa Tovuti ya Flight Tracking Data.

P DIDDY ASHITAKIWA KWA MAKOSA YA UNYANYASAJI

MICHEZO Msanii wa Marekani Sean Combs, maarufu kama P Diddy ameshtakiwa na mtayarishaji wa muziki ambaye anamtuhumu kwa kumshambulia kijinsia na kumlazimisha kufanya ngono na makahaba. Mtayarishaji huyo, Rodney “Lil Rod” Jones ametuhumu kuwa alikuwa muathirika wa kutomaswa bila ridhaa wakati akifanya kazi ya utayarishaji wa albam mpya ya Diddy. Haya ni mashtaka ya tano… Continue reading P DIDDY ASHITAKIWA KWA MAKOSA YA UNYANYASAJI

DIDY AFUNGULIWA KESI YA UBAKAJIDiscoverCars.com

NYOTA WETU Rapa mkongwe,Mtayarishaji Muziki na mfanyabiashara, Sean Combs “Diddy” amefunguliwa mashtaka na Joi Dickerson-Neal ambaye amemtuhumu kumpa Dawa za kulevya na Kisha kumbaka,tukio hilo lilitokea January 3,1991. Mlalamikaji anadai baada ya kupewa dawa na kubakwa aligundua Diddy alirekodi tukio hilo kwa siri na kuwaonyesha watu kwa siri. Mwanasheria wa Diddy amedai tuhuma hizo ni… Continue reading DIDY AFUNGULIWA KESI YA UBAKAJIDiscoverCars.com

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner