MIKE TYSON AKIRI KWASASA YUKO VIZURI BAADA YA KUUGUA

Mwana-Masumbwi mkongwe Mike Tyson (58), ameripotiwa kuugua juzi akiwa kwenye Ndege akitokea Miami kuelekea jijini Los Angeles. Kwa mujibu wa msemaji wake, bingwa huyo wa zamani wa ndondi alianza kujisikia vibaya takribani dakika 30 kabla ya kutua. Mara tu baada ya kutua alipokelewa na timu ya wauguzi na kwa sasa hali yake inaendelea vizuri. Mwaka… Continue reading MIKE TYSON AKIRI KWASASA YUKO VIZURI BAADA YA KUUGUA

MAGAZETI YA LEO 29 MEI 2024

Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Mama Tunu Pinda, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Shirikisho la amani duniani Kanda ya Tanzania (Universal Peace federation- UPF) kwa miaka miwili baada ya kukabidhiwa na Balozi wa shirikisho la amani duniani bara la Afrika UPF Adama Doumbia.

Lengo la Uenyekiti huo ni kuhamasisha amani miongoni mwa watanzania bila kubagua dini, Madhehebu, mila, Viongozi wa Chama na serikali, Wabunge na wananchi kuanzia ngazi ya mtu mmoja, familia hadi taifa. Makabidhiano hayo yanefanyika kwenye hafla fupi jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Jumuiya na Mashirikisho ya Amani ya dini, madhehebu… Continue reading Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Mama Tunu Pinda, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Shirikisho la amani duniani Kanda ya Tanzania (Universal Peace federation- UPF) kwa miaka miwili baada ya kukabidhiwa na Balozi wa shirikisho la amani duniani bara la Afrika UPF Adama Doumbia.

Mshambuliaji wa Manchester United, Anthony Martial (28) amethibitisha kuondoka ndani ya kikosi hicho baada ya msimu huu kumalizika wiki iliyopita, huku akiiandikia timu hiyo ujumbe mzito.

Martial raia wa Ufaransa kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa “Kwenu mashabiki wa Manchester United, ni kwa majonzi makubwa kuwaandikia leo kuwaaga na kusema kwaherini. “ Baada ya miaka tisa kuwa pamoja katika klabu, wakati umefika wa mimi kuondoka na kufungua ukurasa mpya katika taaluma yangu hii ya Soka. Tangu nilipojiunga klabuni mwaka wa… Continue reading Mshambuliaji wa Manchester United, Anthony Martial (28) amethibitisha kuondoka ndani ya kikosi hicho baada ya msimu huu kumalizika wiki iliyopita, huku akiiandikia timu hiyo ujumbe mzito.

MAGAZETI YA LEO 28 MEI 2024

LHRC KUMSHITAKI OSCAR OSCAR

NYOTA WETU Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea Vitendo vya Udhalilishaji vinavyofanywa na Mwanahabari Oscar Oscar kupitia Habari Picha za Mzaha (Memes) anazozisambaza Mitandaoni LHRC imenukuu Ibara ya 12 ya Katiba ya Tanzania inayolinda heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa Utu wa Mtu na inapinga ubaguzi, Mkataba wa kupinga aina zote za Ubaguzi… Continue reading LHRC KUMSHITAKI OSCAR OSCAR

Utata ajali ya Raisi wa Iran

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

Kitisho cha Ziwa VICTORIA kuumeza Mkoa Kagera

HABARI KUU Mkazi wa Manispaa ya Bukoba Mzee Pius Ngeze (70), amesema anahofia balaa kubwa kutokea katika Mkoa huo kumezwa na ziwa Victoria, kutokana na kukosekana kwa mikakati mahsusi wala uchunguzi, ili kubaini kwanini Tetemeko, Mafuriko na majanga mengine yanatokea mara kwa mara na kusababisha athari kwenye jamii. Ngeze ambaye pia ni mmoja wa Wazee… Continue reading Kitisho cha Ziwa VICTORIA kuumeza Mkoa Kagera

YANGA KUTUMIA UWANJA WA MKAPA KWENYE SHEREHE ZA UBINGWA

MICHEZO Klabu ya Yanga SC imekubaliwa kuutumia uwanja wa Mkapa katika sherehe zao za Ubingwa wa (30) wa ligi kuu Tanzania bara. “Tulipeleka Maombi yetu Bodi ya Ligi na kwa Serikali tukitaka Mechi yetu dhidi ya Tabora United tukabidhiwe kombe letu, sasa ni Rasmi Yanga tutakabidhiwa kombe letu Jumamosi, Mei 25, mechi hii itapigwa katika… Continue reading YANGA KUTUMIA UWANJA WA MKAPA KWENYE SHEREHE ZA UBINGWA

DIAMOND ANAUA MZIKI WETU MAKUSUDI

MAKALA –Kwa miaka mingi sana tumekuwa tukimtazama Sana diamond platnumz kuwa ndio msanii pekee mwenye mabavu ya kuufanya mziki wetu kufika kimataifa imekuwa tofauti na mtazamo yetu. Siku hizi diamond platnumz amekuwa msanii wa kisujudia radha ya mziki wa Amapiano na kuitupa mbali Bongo Fleva, Kwa muktadha huo inamaanisha diamond platnumz ameamua kutusaliti sisi watanzania… Continue reading DIAMOND ANAUA MZIKI WETU MAKUSUDI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner