AFYA YA PAPA FRANCIS YAZIDI KUZOROTA

NYOTA WETU Kwa mara nyingine tena Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis, alimuomba Msaidizi wake kumsomea somo la katekisimu wakati wa misa ya Jumatano. Papa aliongoza misa hiyo ya kila wiki ambayo kwa mara ya kwanza ndani ya mwaka huu ilifanyikia nje katika uwanja wa St.Peters. Kiongozi huyo pia alionekana kushindwa kupanda ngazi… Continue reading AFYA YA PAPA FRANCIS YAZIDI KUZOROTA

MACKY SALLY ATANGAZA SIKU YA UCHAGUZI SENEGAL

NYOTA WETU Rais wa Senegal Macky Sally amechukua hatua ya Uchaguzi Mkuu wa Urais kufanyika Machi 24,2024 ikiwa ni baada ya siku za hivi karibuni Mahakama ya kikatiba kutupilia mbali kuahirishwa kwa tarehe iliyokuwa imepangwa awali. Muhula wa Macky Sall utamalizika Aprili 2 mwaka huu baada ya kuomba uchaguzi kusogezwa mbele hadi mwezi Juni badala… Continue reading MACKY SALLY ATANGAZA SIKU YA UCHAGUZI SENEGAL

TYPES OF MEN THAT MOST WOMEN PRAY TO GET AS HUSBANDSimg

LOVE ❤ Ladies are always cautious in their interactions with males, and they strive to examine a man attentively before deciding whether or not they should marry him. This explains why it appears that ladies are usually picky about their male companions; they don’t just appreciate and value any man they come across; they look… Continue reading TYPES OF MEN THAT MOST WOMEN PRAY TO GET AS HUSBANDSimg

MISS TANZANIA HALIMA KOPWE ATINGA 10 BORA

NYOTA WETU Mrembo wa Tanzania, Halima Kopwe ameingia katika kumi bora kwenye kipengele cha ushindani cha ‘Beauty with Purpose Project’ kwenye shindano la ulimbwende la dunia (Miss World) linaloendelea nchini India. Hili ni Shindano la Urembo la Dunia la 71 ambalo limeanza Februari 18, 2024 na litahitimishwa Machi 09, 2024. Kampeni ya Halima iliyoshida ni… Continue reading MISS TANZANIA HALIMA KOPWE ATINGA 10 BORA

SABABU ZA HOSPITAL BINAFSI KUKATAA MAKATO YA NHIF

MAKALA SERIKALI imesema haitamvumilia Mtoa Huduma yeyote ambaye atakiuka sheria ya kutoa huduma hususan wakati huu wa utekelezaji wa Kitita kipya cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Onyo hilo limetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Lindi ambapo aliwaagiza Watoa huduma hao kuzingatia Mkataba wao na kuwahudumia… Continue reading SABABU ZA HOSPITAL BINAFSI KUKATAA MAKATO YA NHIF

KILICHOSABABISHA NDEGE YA TANZANIA KUPATA HITILAFU YA KUTOA MOSHI

HABARI KUU Hatimaye Kampuni ya Ndege Tanzania kupitia Mkurugenzi Mtendaji wake Injinia Ladislaus Matindi wametolea ufafanuzi hitilafu ya Ndege ya Shirika hilo iliyosababisha kutoka moshi ikiwa angani ikitokea Dar es salaam kuelekea Mbeya na kusababisha Marubani waigeuze na kurudi Dar es salaam. Injiania Matindi leo ameeleza kuwa tarehe 24 Februari 2024, Jumamosi, Ndege hiyo ya… Continue reading KILICHOSABABISHA NDEGE YA TANZANIA KUPATA HITILAFU YA KUTOA MOSHI

HISTORIA YA HAYATI RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI

MAKALA Rais Mstaafu wa Awamu ya PiliMheshimiwa Alhaj Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza Serekali ya Awamu ya Pili aliingia madarakani rasmi tarehe 5 Novemba 1985. Mheshimiwa Alhaj Ali Hassan Mwinyi alizaliwa Kivule, Mkuranga, mkoa wa Pwani tarehe 5 mei, 1925. KAZI Alikuwa mwalimu wa shule za msingi za Mangapwani na Bumbwini, Zanzibar.Kisiasa, mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi… Continue reading HISTORIA YA HAYATI RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI

ATEKWA NA WENZAKE KWA KUWATAPELI MADAWA YA KULEVYA

HABARI KUU WATU wanaodhaniwa kuwa vigogo wa mtandao wa dawa za kulevya wamemteka mshirika wao na kumzungusha maeneo mbalimbali ya Jiji la Tanga wakishinikiza kulipwa shilingi milioni 50 au arudishe mzigo wa dawa zinazodhaniwa kuwa za kulevya ambazo walimkabidhi mshirika waliyemteka. Tukio la kutekwa kwa mtu huyo aliyetajwa kwa jina la Muki Kizinga lilitokea Februari… Continue reading ATEKWA NA WENZAKE KWA KUWATAPELI MADAWA YA KULEVYA

RAIS SAMIA SULUHU KUWALINDA CHADEMA

HABARI KUU Rais Samia Suluhu Hassan amesema Taifa la Tanzania litaendelea kutulia zaidi kwa kuwa linaongozwa na Mama ambaye kazi yake ni kulea, kustahimili na kuhakikisha nyumba ina usalama huku akisema Vyama vya siasa vitaendelea kufanya shughuli zao kwa uhuru na kusisitiza kuwa wanaotaka kuandamana wanaruhusiwa na watalindwa. Haya yamepatikana kwenye video yenye hotuba ya… Continue reading RAIS SAMIA SULUHU KUWALINDA CHADEMA

AFIA GESTI AKIWA NA MPENZI WAKE

HABARI KUU Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mahamudu Mbwana, miaka 44, Mkazi wa Mbezi Madale, jijini Dar es Salaam, amefariki dunia akiwa na mpenzi wake, kwenye nyumba ya kulala wageni Ya Another Coast, maeneo ya Mikumbi, Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, mkoani Lindi. Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Lindi, ACP… Continue reading AFIA GESTI AKIWA NA MPENZI WAKE

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner