WANAFUNZI WAFARIKI KWA KUKOSA HEWA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

HUU NDIO MKATABA MPYA WA JONAS MKUDE NDANI YA YOUNG AFRICANS

MICHEZO Klabu ya Young Africans ipo kwenye mpango wa kumuongezea mkataba mpya wa mwaka mmoja kiungo wao Jonas Mkude mwenye umri wa miaka 31, ambaye anamalizia mkataba wake mwishoni mwa msimu huu. Mkude alisajiliwa na Young Africans kama mchezaji huru mwanzoni mwa msimu huu baada ya mkongwe huyo kutemwa na Simba SC aliyokuwa ameitumikia kwa… Continue reading HUU NDIO MKATABA MPYA WA JONAS MKUDE NDANI YA YOUNG AFRICANS

SABABU JOSEPH SELASINI KUMLIPA JAMES MBATIA MILIONI 80

HABARI KUU Aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia ameshinda kesi dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Joseph Selasini ambaye alimfungulia mashtaka ya udhalilishaji dhidi yake. Hukumu hiyo iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imemwamuru Selasini kumlipa Mbatia kiasi cha shilingi milioni 80 kama fidia ya kumchafua, kulipa gharama za… Continue reading SABABU JOSEPH SELASINI KUMLIPA JAMES MBATIA MILIONI 80

TUNDU LISSU AMSHTUKIA MBOWE KUELEKEA 2025

HABARI KUU Baada ya Lissu kutangaza jukwaani kuwa rushwa imekithiri kwenye uchaguzi wa ndani wa CHADEMA, hali hiyo imevuta hisia za wengi na kuleta taswira ya vita ya madaraka kati yake na Freeman Mbowe wakati huu ambapo maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za mitaa  na uchaguzi mkuu wa mwakani yakiendelea. Madai ya Lissu aliyatoa katika… Continue reading TUNDU LISSU AMSHTUKIA MBOWE KUELEKEA 2025

SABABU CLATOUS CHAMA KUFUNGIWA

MICHEZO Mchezaji wa Simba SC, Clatous Chama amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya TZS milioni 1 kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi mchezaji Nickson Kibabage katika mchezo wa Yanga na Simba Aprili 20, 2024. Adhabu hiyo imetolewa baada ya kikao kilichokaa cha Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu… Continue reading SABABU CLATOUS CHAMA KUFUNGIWA

MTAZAMO WA BABA ASKOFU BAGOZA KUHUSU KUKATWA KWA MALISA GJ NA BONIFACE JACOB

NYOTA WETU Baba Askofu Benson Bagonza ameandika yafuatayo:” NCHI HII KUBWA: Bora Taharuki kuliko Mauaji. Sifa moja muhimu ya kiongozi ni kufanya maamuzi yenye maslahi mapana kwa jamii. Nyumba inapoungua moto, ni bora kuokoa hata godoro moja kuliko kuua panya wanaokimbia moto unaounguza nyumba. Mitandao ya kijamii usiku wa leo (25/4/2024) imejaa habari za Mwanaharakati… Continue reading MTAZAMO WA BABA ASKOFU BAGOZA KUHUSU KUKATWA KWA MALISA GJ NA BONIFACE JACOB

YUSUF MANJI AFUNGUKA DILI LA KUTAKA KURUDI YOUNG AFRICANS

NYOTA WETU Mwenyekiti na Mfadhili wa zamani wa Young Africans, Yusuf Manji amesema kwa sasa hafikirii kurejea ndani ya klabu hiyo ingawa anafurahia kuona imekuwa na umoja na mshikamano wa hali ya juu. Manji amesema kwa sasa umri wake unambana kujiweka karibu na timu hiyo na soka kwa ujumla, hivyo anaendelea kujishughulisha na mambo mengine.… Continue reading YUSUF MANJI AFUNGUKA DILI LA KUTAKA KURUDI YOUNG AFRICANS

MAMBO 7 AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI

MAPENZI HAYA NI MAMBO SABA (7) AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI:_ 💞💘💞💘 1. MWANAUME HAPENDI KUFOKEWA Hata kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima. 2. MWANAUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA Ukimuuliza swali halafu yeye anakua kimya au anaduwaa; ujue hana jibu au anajisikia vibaya kuhusu jibu ambalo anatakiwa kutoa.… Continue reading MAMBO 7 AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI

KAULI YA MAKONDA YAMPONZA CCM IKIMRUKIA

HABARI KUU Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemuita Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwenye Kamati ya Maadili na anatarajiwa kuitikia wito huo siku ya kesho Jumatatu, Aprili 22, 2024. Japo haijaelezwa anachoitiwa lakini inaweza kuhusishwa na kile Mkuu huyo wa Mkoa alichokisema wakati miaka 40 ya Kumbukumbu ya Waziri Mkuu wa zamani Marehemu Edward… Continue reading KAULI YA MAKONDA YAMPONZA CCM IKIMRUKIA

SABABU ZINAZOPELEKEA KUJAMBA UKENI

AFYA Hili ni tatizo linalowakumba WANAWAKE wengi sana tena sana na wanashindwa wafanye nini kulitatua na pia wengi wao hawajui ni kitu gani kinasababisha hali hiyo?Hutokea mnapokua mnafanya tendo la Ndoa(mbuzi kagoma) Au Pia Wakati Wa Mazoezi Ambapo Hewa huingia Ndani Na Wakati wa kutoka hutoa mlio kama Kujamba. Hali hii huwa Ni Kawaida na… Continue reading SABABU ZINAZOPELEKEA KUJAMBA UKENI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner