MAKONDA AGEUKIA DAWA ZA KULEVYA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

SABABU YA KIFO CHA GADNER HABASH MTANGAZAJI WA CLOUDS MEDIA

NYOTA WETU Mtangazaji maarufu wa kituo cha radio cha Clouds FM, Gadner G. Habash (Captain) amefariki Dunia leo April 20, 2024. Gadner alikuwa amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure . Kupitia kipindi cha JAHAZI Gadner alijizolea umaarufu mkubwa kwa namna yake ya pekee… Continue reading SABABU YA KIFO CHA GADNER HABASH MTANGAZAJI WA CLOUDS MEDIA

DEREVA WA SHULE YA MEMORIAL ASOMEWA MASHTAKA

HABARI KUU Dereva wa Basi dogo la Shule ya Msingi Ghati Memorial, lililosombwa na maji na kuua wanafunzi nane jijini Arusha, Lukuman Hemed amepandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka nane, likiwemo la kuua bila kukusudia. Waendesha mashtaka wa Serikali, Yunis Makala na Amina Kiango wamesema Mshtakiwa huyo aliendesha gari aina ya Toyota hiace namba T496EFK April… Continue reading DEREVA WA SHULE YA MEMORIAL ASOMEWA MASHTAKA

MR IBU KUZIKWA JUNI 28

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

ADAKWA NA POLISI KWA KUMUINGILIA KUKU NA KUMUUA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

YANGA YARAMBA MDHAMINI MPYA SILVER GENERAL INVESTMENT

MICHEZO Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans leo Jumanne (Aprili 16) imeingia mkataba wa mwaka mmoja na kampuni ya Silver General Investment unatoa fursa kwa mashabiki na Wanachama wa timu hiyo kukopeshwa simu na kulipa kwa awamu tofauti. “Mwanachama na Shabiki wa Young Africans ambaye anahitaji kukopeshwa simu anapaswa kutoa kiasi cha Tsh 75,000 na… Continue reading YANGA YARAMBA MDHAMINI MPYA SILVER GENERAL INVESTMENT

SAKATA LA PAULINE GEKUL LACHUKUA SURA MPYA

HABARI KUU Mahakama kuu kanda ya Manyara imefutilia mbali rufaa ya Hashimu Ally dhidi ya Mbunge wa jimbo la Babati Mjini Pauline Gekul kwa sababu Rufaa hiyo haikuwa na mashiko mbele ya mahakama hiyo Maamuzi hayo yametolewa na Jaji wa mahakama kuu kanda ya Manyara Devotha Kamzola huku akiwataka warufani kukata rufaa kama hawajaridhika na… Continue reading SAKATA LA PAULINE GEKUL LACHUKUA SURA MPYA

KOCHA MIGUEL GAMONDI ATAJA ORODHA YA WACHEZAJI WATAKAOACHWA YOUNG AFRICANS

MICHEZO Taarifa kutoka ndani Young Africans ni kwamba kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi kawasilisha mapema ripoti kwa mabosi wa klabu hiyo ikiwa ni mikakati ya kuanza kukisuka upya kikosi cha msimu ujao. Hesabu za Gamondi zimeonyesha kuhitaji kuongeza kipa mmoja atakayechukua moja ya nafasi ya makipa watatu waliopo sasa akiwamo Djigui Diarra, Metacha… Continue reading KOCHA MIGUEL GAMONDI ATAJA ORODHA YA WACHEZAJI WATAKAOACHWA YOUNG AFRICANS

LIVERPOOL NA ARSENAL ZILIVYOCHANA MIKEKA

MICHEZO Liverpool na Arsenal zote zikiwa nyumbani zimepokea vichapo mshtuko kwenye ligi kuu soka nchini England Miamba hiyo imepoteza kwenye kipindi muhimu cha hesabu za kuwania taji la EPL na kutoa fursa kwa Manchester City kukaa kileleni kwenye msimamo wa ligi hiyo Liverpool wakiwa Anfield walishtukizwa 1-0 na Crystal Palace wakati kicha Unai Emily na… Continue reading LIVERPOOL NA ARSENAL ZILIVYOCHANA MIKEKA

PAUL MAKONDA ATEMBELEA MAENEO YALIYOATHIRIWA NA MAFURIKO

HABARI KUU Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametembelea maeneo ya Jiji la Arusha yaliyoathiriwa na mafuriko yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani humo. Maeneo aliyotembelea ni pamoja na Sakina na Mianzini ambayo yameathirika zaidi na mvua na kusababisha vifo vya watu sira na uharibifu mkubwa wa miundombinu. Akizungumza na wananchi wa maeneo hayo… Continue reading PAUL MAKONDA ATEMBELEA MAENEO YALIYOATHIRIWA NA MAFURIKO

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner