ALIKIBA ATAMBULISHA WAWILI CROWN FM

NYOTA WETU Mwanamuziki wa Bongo Fleva Ali Kiba ambaye pia ni Rais wa Crown Media ameendelea kutambulisha familia ya kituo chake kipya ambapo kwa kuanza alianza na Mtangazaji mashuhuri wa vipindi vya burudani Dullah na sasa amemtambulisha aliyekuwa Mtangazaji wa ManaraTv ya Haji Manara Pablo Almas kuwa Mtangazaji mpya wa Crown Media kupitia ukurasa wa… Continue reading ALIKIBA ATAMBULISHA WAWILI CROWN FM

SABABU ZA BEKI EVAN N’DICKA KUANGUKA UWANJANI

MICHEZO Beki wa klabu ya AS Roma, Evan Ndicka raia wa Ivory Coast alianguka uwanjani mnamo dakika ya 72 wakati wa mechi dhidi ya Udinese hali iliyopelekea mchezo huo kuahirishwa huku ubao ukisoma 1-1. Kwa bahati nzuri, Ndicka alikuwa kwenye fahamu na kujitambua, lakini alitolewa nje ya uwanja kwa tahadhari. Taarifa kutoka kwa Roma ilisema… Continue reading SABABU ZA BEKI EVAN N’DICKA KUANGUKA UWANJANI

MVUA YAKATISHA MAWASILIANO KATAVI NA KIGOMA

HABARI KUU Zaidi ya Kaya 13 zimekosa makazi katika kata ya Makanyagio Manispaa ya Mpanda baada ya nyumba zao kuanguka kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua iliyonyesha Usiku wa kuamkia April 14. Barabara Kuu inayounganisha Mikoa ya Kigoma na Katavi na wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi ikishindwa kupitika kutokana na Daraja la Mto Kachoma kufunikwa na… Continue reading MVUA YAKATISHA MAWASILIANO KATAVI NA KIGOMA

KASI ONGEZEKO “SINGLE MOTHERS” SASA YATISHA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

MAKONDA AWATUHUMU MAWAZIRI KUMCHAFUA SAMIA MITANDAONI

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

SABABU ZA KLABU YA YOUNG AFRICANS KUFUNGIWA KUSAJILI NA FIFA

MICHEZO Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa taarifa kuwa Klabu ya Young Africans (Yanga) inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Taarifa imeeleza kuwa uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho… Continue reading SABABU ZA KLABU YA YOUNG AFRICANS KUFUNGIWA KUSAJILI NA FIFA

MAKONDA ATISHIA KUWATAJA MAWAZIRI WANAOMTUKANA RAIS SAMIA SULUHU

HABARI KUU Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amesema atawataja kwa majina wote wanaohusika kuwalipa watu kwaajili ya kumtukana Rais kwenye mitandao ya kijamii. “Nafahamu wenye maneno hawaishi kusema maneno, lengo lao ni kukatisha tamaa, tena wengine umetupa nafasi tumo ndani ya uongozi wako na nitumie fursa hii kuwaambia hasa kaka zangu mnaotuma watu… Continue reading MAKONDA ATISHIA KUWATAJA MAWAZIRI WANAOMTUKANA RAIS SAMIA SULUHU

MSAMARIA MWEMA AFARIKI AKIWAOKOA WANAFUNZI WA SHULE

HABARI KUU Mbali ya miili saba ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Ghati Memorial iliyopo Murieti jijini Arusha kupatikana, pia mwili wa msamaria mwema aliyejaribu kuokoa wanafunzi hao (jina halijafahamika) umepatikana jioni hii. Ajali hiyo imetokea leo Aprili 12, 2024, saa 12 asubuhi baada ya gari la shule walimokuwemo wanafunzi kutumbukia kwenye korongo lililojaa maji… Continue reading MSAMARIA MWEMA AFARIKI AKIWAOKOA WANAFUNZI WA SHULE

SABABU ZA DIAMOND PLATINUMZ KUKATAA SHOW ZA NIGERIA

NYOTA WETU Diamond Platnumz amesema shoo za Nigeria anazikataa mara kibaio, kwa sababu wanajua ukubwa wake ila wanachukulia poa. “Unajua mimi sijafanya shoo Nigeria muda mrefu kwa sababu wana tabia ya ‘ku-understimate’ ukubwa wako licha ya kujua nguvu yako. Shoo nyingi nimezikataa kwa sababu nataka kiasi hiki wao wanataka kipungue. Unataka nije kwenye shoo yako… Continue reading SABABU ZA DIAMOND PLATINUMZ KUKATAA SHOW ZA NIGERIA

YOUNG AFRICANS YAMUONYA WAKALA WA MAYELE

MICHEZO Klabu ya Yanga imemwandikia barua ya onyo wakala anaemsimamia Fiston mayele kuwa Mteja wake amekuwa akitumia maneno ya kuichafua brand ya Yanga SC na endapo akiendelea atafunguliwa mashtaka. Mwanamama Jasmine Razack anawasimamia wachezaji kadhaa waliopo na waliopita Yanga ; ◉ Fiston Mayele◉ Feisal Salum◉ Ibrahim Bacca◉ Clement Mzize

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner