NJIA ZA KUIFANYA NDOA YAKO IWE MPYA KILA SIKU NA YA KUDUMU

MAPENZI Ndoa ni kama bustani, inahitaji kutunzwa na kufanyiwa kazi; kupunguza matawi, kung’oa magugu, kupaliliwa na kutiwa mbolea. Ukiona kijani kibichi upande wa pili wa fensi, ni kwasababu panatunzwa. Kila mtu anaweza kutamani uzuri wa bustani. Lakini hugharimu muda, juhudi, kuchapakazi na umakini kuifanya bustani ivutie. Sasa Unafanyaje ndoa yako iwe tamu na ifurahishe?

MWIGIZAJI POPE ODONWONDO AFARIKI AKIREKODI

NYOTA WETU Mwigizaji kutoka Nigeria Pope Odonwodo maarufu kama Junior Pope amefariki baada ya ajali mbaya aliyopata mto Anam Nigeria wakati boti waliyokuwa wanaitumia katika utayarishaji wa filamu kupinduka. Mto Anam ni miongoni mwa mandhari ambazo zilikuwa zimepangwa kuwepo katika filamu yao, hivyo amefariki kabla filamu haijakamilika. Taarifa za kifo chake zimetolewa na Rais wa… Continue reading MWIGIZAJI POPE ODONWONDO AFARIKI AKIREKODI

CHRISTINA SHUSHO AFUNGUKA SABABU ZA KUACHANA NA MUME WAKE

NYOTA WETU Christina Shusho aeleza sababu ya kuondoka kwa mume na kuamua kuishi maisha yake mwenyewe. “Mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia labda.” “Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo… Continue reading CHRISTINA SHUSHO AFUNGUKA SABABU ZA KUACHANA NA MUME WAKE

YOUNG AFRICANS YATINGA ROBO FAINALI IKIICHAPA DODOMA JIJI

MICHEZO Wananchi, Young Africans Sc wametinga hatua ya robo fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Walima zabibu, Dodoma Jiji FC katika dimba la Jamhuri, Dodoma. FULL TIME: Dodoma Jiji FC 0-2 Yanga SC⚽ Emmanuel Joseph 3′⚽ Waleed Clement Mzize 66′ Timu zilizofuzu robo fainali Kombe la Shirikisho la… Continue reading YOUNG AFRICANS YATINGA ROBO FAINALI IKIICHAPA DODOMA JIJI

AZIZ KI ALAMBA MKATABA MPYA YANGA

TETESI Walichofanya Yanga ni kutocheza na shilingi chooni, wakaamua kutoa mkataba wa muda mrefu kwa Kiungo Mshambuliaji wao, Stephane Aziz Ki ambao utamuweka jangwani kwa miaka mingine mitatu. Taarifa za ndani zinaeleza kuwa Aziz Ki ameshasaini mkataba na Yanga na kilichobakia ni kuweka hadharani juu ya makubaliano hayo. Mkataba wa awali wa Aziz na Yanga… Continue reading AZIZ KI ALAMBA MKATABA MPYA YANGA

POLISI AFYATUA RISASI KUKWEPA DENI LA POMBE

HABARI KUU Polisi wa Transmara, Kaunti ya Narok Nchini Kenya, wanachunguza kisa kimoja cha Afisa wa kitengo cha RDU (Rapid Deployment Unit), Dennis Imai ambaye alifyatua risasi moja hewani alipodaiwa deni la Pombe aliyokunywa katika baa moja. Afisa huyo ambaye amewekwa katika kambi ya RDU kijiji cha Enkorika, inasemekana alilimbikizia bili ya KSh. 2, 220… Continue reading POLISI AFYATUA RISASI KUKWEPA DENI LA POMBE

SIMULIZI YA KUSIKITISHA MIAKA 12 BILA STEVEN KANUMBA

NYOTA WETU MAPENZI YALIMUUA KANUMBA—————————————————–Leo April 7 ni kumbukizi ya miaka 12 ya kifo cha nguli wa tasnia ya filamu Tanzania almaarufu Bongo Movie, marehemu Steven Charles Kanumba a.k.a Kanumba The Great. Mnamo mwaka 2012 Steven Kanumba alifariki dunia baada ya kusukumwa na kujibamiza ukutani akigombana na mpenzi wake Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye kwa sasa… Continue reading SIMULIZI YA KUSIKITISHA MIAKA 12 BILA STEVEN KANUMBA

SIRI POLISI WASTAAFU KUPEWA AJIRA MPYA

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

POLISI ARUSHA WAMKAMATA MWIZI ALIYEONEKANA MTANDAONI AKIIBA

HABARI KUU Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikilia mtuhumiwa aliyeonekana katika video ambayo ilisambaa katika mitaandao ya Kijamii na kupora vitu kwa mwananchi mmoja huko maeneo ya Burka kisongo Jijini Arusha. Akitoa taarifa hiyo leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine Masejo amesema Jeshi hilo lilipata… Continue reading POLISI ARUSHA WAMKAMATA MWIZI ALIYEONEKANA MTANDAONI AKIIBA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner