BOMOA BOMOA KUANZA APRILI 12 DAR ES SALAAM

HABARI KUU Mratibu wa Miradi ya Ushirikiano Kati ya Benki ya Dunia na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Humphrey Kanyenye amesema Ofisi ya Uratibu wa Mradi wa Bonde la Msimbazi, kwa kushirikiana na ofisi za wakurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam na Manispaa ya Kinondoni, itaanza kubomoa nyumba zilizofidiwa Aprili 12,… Continue reading BOMOA BOMOA KUANZA APRILI 12 DAR ES SALAAM

HISTORIA YA CAPTAIN JOHN KOMBA

MAKALA KILA mwanadamu amekuja duniani kufanya shughuli yake aliyotumwa na Mwenyezi Mungu. Sote tunaamini kila mtanzania anao wajibu wake kuilinda na kuijenga Tanzania, na pia amekuja duniani kutimiza majukumu aliyokabidhiwa na Mungu. Kwahiyo iwe kwenye siasa, uchumi, sanaa, kilimo, ufugaji, uvuvi, usafirishaji, uhunzi, ujenzi, na nyingine zozote halali ni sehemu ya wajibu waliokabidhiwa wanadamu kutekeleza… Continue reading HISTORIA YA CAPTAIN JOHN KOMBA

KAULI YA GAVANA EMMANUEL TUTUBA YAWAKERA WATANZANIA

HABARI KUU Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emmanuel Tutuba amesema hali ya Uchumi ni nzuri na wanaosema Maisha yamekuwa magumu wafanye kazi kwasababu hayajawahi kuwa rahisi tangu Mungu alipoumba Dunia Amesema “Kinachotakiwa kila mmoja kufanya kazi. Wengine nimewasikia wakisema Maisha yamekuwa magumu. Kimsingi Maisha hayajawahi kuwa rahisi tangu Mungu alivyoumba Dunia. Alivyomuumba Mwanadamu alisema… Continue reading KAULI YA GAVANA EMMANUEL TUTUBA YAWAKERA WATANZANIA

MHASIBU WILAYA YA SAME JELA MIAKA 20

HABARI KUU Aliyekuwa Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro, Paulo Teveli amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela bila faini, baada ya kutiwa hatiani kwa uhujumu uchumi. Teveli alikuwa akikabiliwa na makosa mawili, ikiwemo matumizi mabaya ya mamlaka chini ya kifungu cha 31 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Sura 329… Continue reading MHASIBU WILAYA YA SAME JELA MIAKA 20

HUU NDIO MWONEKANO WA UWANJA WA DKT. SAMIA UTAKAOJENGWA ARUSHA

MICHEZO Serikali kupitia Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo, leo Machi 19, 2024 imesaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa michezo utakaopewa jina La Dkt. Samia Suluhu Hassan. Uwanja huo utakaojengwa jijini Arusha utagharimu shilingi bilion 286 na unatazamiwa kutumika kwenye michuano ya AFCON 2027 ambapo Tanzania ni moja ya nchi mwenyeji wa mashindano hayo.… Continue reading HUU NDIO MWONEKANO WA UWANJA WA DKT. SAMIA UTAKAOJENGWA ARUSHA

TAARIFA YA PACOME ZOUZOUA KWA SASA

MICHEZO Kiungo wa klabu ya Yanga, Pacome Zouzoua ambaye alipata majeraha na kushindwa kuendelea na mchezo dhidi ya Azam FC ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Ivory Coast kinachotarajiwa kucheza mechi za kirafiki. Taarifa ya Shirikisho la Mpira lvory Coast imebainisha kuwa Pacome anachukua nafasi ya lbrahim Sangare anayekipiga Nottingham Forest ya Ligi… Continue reading TAARIFA YA PACOME ZOUZOUA KWA SASA

BUNGE LAITAKA SERIKALI KUPUNGUZA GHARAMA ZA UMEME

HABARI KUU Mwenyekiti Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Dkt. David Mathayo ameishauri Serikali kuangalia gharama za uunganishaji umeme kwa Wananchi wanaoishi katika maeneo yanayotambulika kama Vijiji Miji, ili kuwawezesha Wananchi wengi kuunganisha umeme kwenye maeneo yao. Ameshauri kuwe na usawa wa gharama za uunganishaji umeme kati ya wananchi wa vijijini na… Continue reading BUNGE LAITAKA SERIKALI KUPUNGUZA GHARAMA ZA UMEME

JOHN AFUNGWA MIAKA 25 KISA HIKI

HABARI KUU Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Morogoro, imemhukumu miaka 25 jela John Mwaseba Mwasikili baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya Bangi, zenye ujazo wa kilo 107.29. Akitoa hukumu hiyo, Jaji wa mahakama M. P. Otaru amesema ushahidi uliotolewa na mashahidi 16 na vielelezo 15 vya upande… Continue reading JOHN AFUNGWA MIAKA 25 KISA HIKI

SERIKALI YAAGIZA MAMLAKA ZOTE KUHUSU UVUNAJI MAJI

HABARI KUU Serikali imeziagiza Mamlaka za Maji kushirikiana na Halmashauri zote za Wilaya, kuhamasisha uvunaji wa Maji ya Mvua katika ngazi zote, hasa katika kipindi hiki ambapo zinaendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi. Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mwajuma Waziri kwa niaba ya Waziri wa Maji, Juma Aweso ameyasema hayo Jijini Dodoma katika uzinduzi… Continue reading SERIKALI YAAGIZA MAMLAKA ZOTE KUHUSU UVUNAJI MAJI

DART KUPATA MWEKEZAJI MPYA

HABARI KUU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa ameielekeza Wakala wa Mabasi yaendayo haraka – DART, kufikia mwezi Oktoba 2024 iwe imempata mwekezaji binafsi ambaye ni mtoa huduma wa mabasi hayo ili kuleta ufanisi. Mchengerwa ametoa maelekezo hayo wakati akiwasilisha Randama ya Bajeti ya… Continue reading DART KUPATA MWEKEZAJI MPYA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner