WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA BAADA YA KUMUUA BODABODA WALIYEMKODI

Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba Mkoa wa Kagera imewahukumu washitakiwa Philbert Mukaru White (37), mkulima, mkazi wa mtaa wa Kagondo Kaifo Bukoba na Lameck Tuinomukama Martine (25), Fundi mkazi wa mtaa wa Kagondo Bukoba adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la mauaji ya Clavery Joseph Kamongo (25) dereva pikipiki (bodaboda)… Continue reading WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA BAADA YA KUMUUA BODABODA WALIYEMKODI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe na Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar.

Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga anakwenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe huku aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Theopista Mallya akihamishwa kwenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma kuchukua nafasi ya Kamishna… Continue reading Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe na Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar.

Mkuu wa Wilaya Morogoro Rebeca Nsemwa ameagiza kuchukuliwa hatua za kinidhamu Diwani Kata Mwembesongo Mhe.Ally Rashidi Kalungwana Kwa kitendo cha Kutumia vibaya madaraka yake kujenga vibanda vya biashara katika eneo la wazi Soko Kuu la chifu Kingalu Manispaa ya Morogoro

DC Rebbeca amesema Diwani huyo amejenga vibanda vya kufanyia biashara katika Soko Kuu la Chifu Kingalu bila kufuata taratibu za mipango miji jambo ambalo ni kosa kisheria na kutaka achukuliwe hatua za kinidhamu haraka sana Ili iwe fundisho kwa watu wengine. DC Rebbeca anasema licha ya Diwani huyo kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya mipango miji… Continue reading Mkuu wa Wilaya Morogoro Rebeca Nsemwa ameagiza kuchukuliwa hatua za kinidhamu Diwani Kata Mwembesongo Mhe.Ally Rashidi Kalungwana Kwa kitendo cha Kutumia vibaya madaraka yake kujenga vibanda vya biashara katika eneo la wazi Soko Kuu la chifu Kingalu Manispaa ya Morogoro

WENYE MAGARI YENYE 3D KUKIONA CHA MOTO POLISI WAONYA

HABARI KUU Wakati leo Alhamisi Machi 14, 2024 ikiwa ndio mwisho wa kuondoa kwa hiari namba zilizoongezwa ukubwa ‘3D’ kwenye magari, Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani, limeainisha hatua zitakazochukuliwa kwa mtu ambaye gari lake litabainika kuendelea kutumia namba hizo zilizopigwa marufuku. Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani, Kamanda Ramadhani Nga’nzi, amesisitiza muda wa… Continue reading WENYE MAGARI YENYE 3D KUKIONA CHA MOTO POLISI WAONYA

HIZI NDIZO FAIDA ZA ULAJI WA BAMIA

MAKALA Wataalam wa Tiba Mbadala, wanaarifu kwamba ukichukua Bamia na ukaziloweka kwenye maji usiku kucha kisha ukayanywa maji yake basi utapata faida zifuatazo kiafya. 1. Bamia imejaa Virutubisho Virutubisho hivyo ni muhimu kama vile vitamini A, C, na K, pamoja na madini kama Kalsiamu, Magnesiamu na Potasiamu. Kunywa maji ya bamia hukuruhusu kunyonya kwa urahisi… Continue reading HIZI NDIZO FAIDA ZA ULAJI WA BAMIA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner