SABABU MARIOO KUFUNGULIWA KESI

NYOTA WETU Msanii Toto Bad maarufu kama @marioo_tz amefunguliwa kesi na Kampuni ya Kismaty kwa madai ya kuvunja mkataba wa kutumbuiza kwa kutoonekana kwenye hafla ya Mr & Miss Vyuo Vikuu Kanda ya Kaskazini. Kulingana na madai yaliyowasilishwa katika Mahakama Kuu ya Wilaya ya Arusha, Marioo na Meneja wake Sweetbert Mwinula, wanakabiliwa na tuhuma hizo… Continue reading SABABU MARIOO KUFUNGULIWA KESI

SASA NI RASMI MWEZI WA RAMADHAN UNAANZA MACHI 12

HABARI KUU Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar leo Jumatatu March 11,2024 imesema kuanzia kesho March 12 2024 Waislamu watapaswa kuanza kufunga katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan baada ya mwezi kuandama leo. Taarifa hiyo imetangazwa na Katibu wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar, Khalid Mfaume kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Saleh… Continue reading SASA NI RASMI MWEZI WA RAMADHAN UNAANZA MACHI 12

MAWAZIRI WA SADC WAIPA TANZANIA MKONO WA POLE

HABARI KUU Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), wamewasilisha salamu za rambirambi kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kifo cha Rais wa pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi katika Baraza la Mawaziri la Jumuiya hiyo lililoanza tarehe 10 Machi 2024 jijini Luanda, Angola Wakati wa ufunguzi wa… Continue reading MAWAZIRI WA SADC WAIPA TANZANIA MKONO WA POLE

WATU 50 WAJERUHIWA KWENYE NDEGE NEW ZEALAND

HABARI KUU Takribani watu 50 wamejeruhiwa baada ya Ndege iliyokuwa ikisafiri kutokea Sydney,Australia kuelekea Auckland, New Zealand kupatwa na hitilafu ya kiufundi ikiwa hewani. Taarifa iliyotolewa na Shirika la Ndege la Chile (LATAM) imeeleza kuwa Ndege hiyo aina ya Boeing 787-9 Dreamliner ilipatwa na hitilafu iliyosababisha kusonga kwa nguvu kubwa. Tukio hiko lilisababisha abiria saba… Continue reading WATU 50 WAJERUHIWA KWENYE NDEGE NEW ZEALAND

AJALI YAUA WATU TISA BAGAMOYO

HABARI KUU Watu tisa wamefariki katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Kiromo Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani baada ya Basi dogo la abiria aina ya Coaster kugongana uso kwa uso na Lori. Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa Dereva wa… Continue reading AJALI YAUA WATU TISA BAGAMOYO

FREEMAN MBOWE AKIMBILIA POLISI KUNUSURU NYUMBA YAKE

HABARI KUU MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amekimbilia Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi kuinusuru nyumba iliyokamatwa kwa amri ya Mahakama ili kulipa Sh milioni 62.7 za mishahara ya waandishi wa habari 10 wanaomdai mtoto wake, Dudley Mbowe ambaye ni Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima. Kupitia Wakili wake John Mallya, Mbowe amewasilisha shauri hilo chini… Continue reading FREEMAN MBOWE AKIMBILIA POLISI KUNUSURU NYUMBA YAKE

7 CHARACTERISTICS OF CONFIDENT WOMAN

LOVE ❤ CONFIDENT WOMEN 1) They are comfortable in their Skin. Black or White, they rock their looks happily. Confident Women are very okay with their looks, tall or short, slim or fat, curvy or not, a confident Woman’s confidence comes from within, and she is thus not susceptible to or affected by body shaming..… Continue reading 7 CHARACTERISTICS OF CONFIDENT WOMAN

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner